Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mvua ni hatari
1713105049579.jpg
1713105770139.jpg
1713105764635.jpg
1713105746518.jpg
1713105757454.jpg
1713105738995.jpg
 
Moja ya Barabara inayo unganisha makambako na sub town ya igwachanya kupitia mtwango hii INAKWENDA kushehen makazi na daladala ikikamilika lami👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇Barabara ya Itulahumba, Igwachana kujengwa kwa kiwango cha lami.

Meneja wa wakala wa barabara za vijijini na mijini wilayani Wanging'ombe Boniface Kasambo amesema kuwa barabara ya Itulahumba hadi Igwachanya italimwa na kutengenezwa kwa kiwango cha lami ndani ya mwaka wa fedha wa 2022-2023.

Mhandisi Kasambo amesema mkandarasi atakayejenga barabara hiyo ameshafika eneo la kazi na kueleza kuwa hatua za manunuzi ya vifaa kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo unaendelea kufanyika kwa sasa.

Barabara hiyo ina urefu wa kilomita 19 na inatajwa kuwa ni lango la wilaya ya Wanging'ombe kutokana na umhimu wake kwa wananchi.

#IceFmHabari
Na @cle
1713089784500~2.jpg
efmlelwah ✍🏾
 
MAENEO YA KIMKAKATI👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

"Serikali kupitia TPDC inayo maeneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya uhifadhi mafuta (tank farms) katika maeneo ya kimkakati nchini ili kurahisisha usambazaji wa mafuta kwa nyakati zote, maeneo hayo yapo Kigamboni (Dar es Salaam), Chongoleani (Tanga), Zuzu (Dodoma), Isaka (Shinyanga), Makambako (Njombe), Kibirizi (Kigoma) na Mpanda (Katavi)"
#MillardAyoBUNGENI
1709193114640.jpg
 
Mzee wa Makambako,mnafeli wapi kwenye Mapato Hadi mnapitwa na Makete na Wanging'ombe?👇👇View attachment 2966943

Makambako Ina jina kubwa ila Mapato sifuri

UKiongelea mambo ya mapato bado vyanzo vya mapato makambako vilikuwa vichache mno kadri siku zinavo sogea vinazidi kuongezeka ndo maana hata figa hapo utaona zimeanza kupanda tofauti na halmashauri nyingine za njombe zinapatia kwenye Kilimo na mbao ukija kwenye tra utaona makambako inafanya vizuri kuliko halmashauri zingine za mkoa ko bado miradi inaendelea kuibuliwa na makete na wangingombe tayar kule road zimefunguka ko lazima mapato yapande
 
Sawa mda utasema.

Ila hata Njombe TC imeshindwa kabisa kuvuka kiunzi Cha Bil.8 Kwa miaka 3 mfululizo Sasa,Mapato ya Juu yaliwahi fika 8.5 lakini yameshuka Hadi 8.2 ,the same to Makambako imeshindwa kuvuka kiunzi Cha Bil.3.

Halmashauri zingine hasa Wanging'ombe,Makete na Ludewa Mapato Yao yameongezeka ila Njombe TC,Njombe DC na Makambako yameshuka yaani ni yamekwamia humo humo.

Shida nini? Parachichi hazifanyi vizuri? Au mbao zimeshuka bei?
 
Ishu kama nilivo kwambia Barabara makete na wangingombe zimefunguka hasa Ile ya makete saiz gari nyingi zinaenda huko huko kuchukua mbao tofauti na mara ya kwanza
 
Ikifunguka Ile ya Mbeya ndio ita boost zaidi.

Bado kazi kubwa inatakiwa kufanyika Ludewa na Njia ya Njombe-Mlimba.
 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema mji wa Makambako ni lango la biashara na anaufananisha mji huo kama ulivyo mji wa Mkuranga mkoani Pwani ambao una viwanda vingi.

Mtaka amesema hayo wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi, Makambako mkoani Njombe.

Mtaka ameongeza kuwa, wao kama mkoa wana mipango ya kuifanya Makambako kuwa mji wa viwanda na tayari wameanza ujenzi wa kiwanda cha chuma na hivyo wananchi mkoani humo hawatapata tena adha ya kufuata chuma mkoani Dar es Salaam.

Pia wana mpango wa kuongeza thamani ya zao la Parachichi ambalo linalimwa sana mkoani humo.

Aidha, Mtaka ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuendelea kuwaelekeza wananchi namna nzuri ya ulipaji kodi bila bughudha na hivyo kuwataka wafanyabiashara mkoani humo kufanya shughuli zao kwa utulivu.
1713453839758.jpg
 
NDO MAANA HUWA TUNASEMA MKOA WA NJOMBE UMEJIPAMBANUA MWAKA JANA MWEZI WA KUMI NA MBILI UMETANGAZA KUWA WANATAKA MJI WA MAKAMBAKO UWE WA VIWANDA NA BIASHARA TAYARI ZOEZI HILO LINATEKELEZWA TAYARI WAMEWEKA HADI DALADALA ZA KWENDA MAENEO TOFAUTI NDANI YA MKOA 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇♨️Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema mji wa Makambako ni lango la biashara na anaufananisha mji huo kama ulivyo mji wa Mkuranga mkoani Pwani ambao una viwanda vingi.

Mtaka amesema hayo wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi, Makambako mkoani Njombe.

Mtaka ameongeza kuwa, wao kama mkoa wana mipango ya kuifanya Makambako kuwa mji wa viwanda na tayari wameanza ujenzi wa kiwanda cha chuma na hivyo wananchi mkoani humo hawatapata tena adha ya kufuata chuma mkoani Dar es Salaam.

Pia wana mpango wa kuongeza thamani ya zao la Parachichi ambalo linalimwa sana mkoani humo.

Aidha, Mtaka ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuendelea kuwaelekeza wananchi namna nzuri ya ulipaji kodi bila bughudha na hivyo kuwataka wafanyabiashara mkoani humo kufanya shughuli zao kwa utulivu.
1713453839758.jpg
1709317693943.jpg
IMG_20240419_160559_790~2.jpg
1709114059423.jpg
FB_IMG_16818118282030428.jpg
 
Back
Top Bottom