Kahama VS Njombe/Mafinga

Ni kwamba tu Saidi Salim Bakhresa kaisha hamua kuweka mizizi Kahama. Watakuja wengine kutoka Njombe
 
Ni kwamba tu Saidi Salim Bakhresa kaisha hamua kuweka mizizi Kahama. Watakuja wengine kutoka Njombe
Njombe ni promising town hakuna wa kuhama ila kuhamia kutoka else where,Huyo mwarabu hapo anajaribu kufanya kitovu cha kuzifikia nchi jirani
 
Kidogo umeongea point but huo mji wenu ukiendelea kubaki hivyo bila kujengwa majengo ya ghorofa utazidi kudharauliwa maana nakumbuka hata Mbeya City ilikuwa haina hata gorofa marefu ya ku justify City stutus kibongo bongo watu wakawa wanaita Kijiji kikubwa but nowdays is changing na majengo marefu yanajengwa both na government na private sector

Ilikuwa ni ngumu sana kukuta jengo hata la ghorofa 6 Mbeya lakini kwa sasa sio story tena bali stori ni lini floor zaidi ya 10 zitaanza kujengwa,so hata huko Kahama lazima muonesha muscles za kuwa Municipal na sio porojo tuu.
 
Hapo
 
Karibuni kwenye mada.

Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.

Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Mkuu unamaanisha kahama manispaa.
Au ubongo wangu umetoroka
 
Mkuu unamaanisha kahama manispaa.
Au ubongo wangu umetoroka
Ni jambo kubwa sana hili . Nadhani ni Wilaya pekee Tanzania kuwa Halmashauri ya Manispaa nje ya Makao Makuu ya Mkoa. Kitu ambacho Njombe hawatakii πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Labda iringa iizidi bukoba kwa maghorofa marefu. Ambayo bukoba sio kwamba inashindwa kuwa nayo but unajua tetemeko lililotokea 2016

Lakin mambo mengi ni Sawa Tu sema bukoba ni mji wa bata sana beaches clubs utulivu ukijani nk. Elimu na quality of life pia bukoba iko juu kuanzia mjini mpaka vijijini Magu mwenyew alizibitisha hilo
 
K
Lakini njombe nayo inakua kwa kasi kwa wale tulio wahi kufika hivi karibuni angalia hata stend soko kuu sio pakubeza kahama soko la hovyo stend ya hovyo.
Tofautisha makao makuu ya mkoa na mji kama Kahama!

Huyu mtu mfupi kutoka Njombe nimeanza kubishana naye toka uzi huu anauanzisha!

Miradi mingi mikubwa na ya kimkakati haipelekwi Wilayani bali makao makuu ya Mikoa!

Wajenge stendi kuu ya mabasi nzuri Kahama na Shinyanga wakajenge nini?
Wajenge soko zuri la lenye hadhi Kahama Shinyanga wakajenge nini?
Grow up dude
 
Ukishindwa kubari usaidiwe,hizo nyimbo za sijui tetemeko sijui nini ni visingizio vya kutapatapa,vilikuwepo Mbeya way back kwamba eti mwisho wa urefu wa majengo ya ghorofa ni 2 lakini mda na pesa vime prove wrong hiyo dhana uchwara ,as we speak kuna 2 buildings with 10 floors ,1 ya serikali na kingine la private with many others Kati ya 4-7

Ko acheni ujinga Iringa imepiga BK knockout kwenye kila kitu
 
Sasa huu ni utoto na ufinyu wa kufikiri,haya ndio madhara ya kushindia kula michembe na mapanki kutwa mara 4.

Kahama inayojigamba kuwa na mapato ya ndani makubwa mumeshindwa kutumia hizo pesa kujenga stand unakuja kulia Lia hapa? Na ulivyo kiazi na hapa utabisha,Njoo Njombe ule matunda anuwai ikusaidie kuamsha afya ya akili uwe unaleta vitu logical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…