Kahama VS Njombe/Mafinga

Tanzania Ina watu wengi kuzidi Singapore lakini je mnafanya biashara kuwazidi?

Watu wa Kahama ni maskini uwingi wao hauna maana yeyote
Wewe unaanzisha mada kuleta mabishano ya kijinga .. Unapenda kusifia maeneo ya kwenu.. hayo maeneo ya Wabena yaliyozungukwa na umasikini mkubwa wanaotegemea kwenda kufanya vibarua bonde la usangu kwenye mashamba ya mpunga..
 
Tanzania Ina watu wengi kuzidi Singapore lakini je mnafanya biashara kuwazidi?

Watu wa Kahama ni maskini uwingi wao hauna maana yeyote
Singapore pamoja na uchache wao walifanya Industry Revolution kubwa sana wao hawategemei kilimo cha (ndofani) viazi km huko Njombe..kwa hiyo idadi ya watu ni muhimu sn ukiona maeneo yenye Thinly Populate ujue hayana Economy Oppotunity..
 
Kumbe tunakubaliana kwamba watu wengi sio ishu Bali akili.

Ndosa ni sehemu ndogo sana ya Uchumi wa Njombe.Unasahau kwamba tuna Madini na Kilimo Cha miti ,pareto,ngano na chai na akili kubwa ya watu wa Njombe.

View: https://x.com/Dj_ELLY_/status/1767111468036632878?t=5DC62U-hToapGkGvC_Y4gg&s=19
 
Kumbe tunakubaliana kwamba watu wengi sio ishu Bali akili.

Ndosa ni sehemu ndogo sana ya Uchumi wa Njombe.Unasahau kwamba tuna Madini na Kilimo Cha miti na akili kubwa ya watu wa Njombe.
Njombe mna madini gani ?
 
Njombe mna madini gani ?
Njombe Ina madini ya kutosha MJOMBA kabla ya kuchangia mada muwe na uelewa wa mikoa ya nchi yako angalau na utembelee sio kuchangia kwa mihemuko population sio uchumi unaweza ukawa na watu wengi uchumi ukawa hamna ko kinachoangaliwa fursa zilizopo kwenye mkoa husika mkoa wa njombe una fursa za kuzidi kama unaufahamu vizuri hadi wanajenga viwanda hivi ujue Kuna madini ya chuma ya kutosha ,bado ya makaa ya mawe nk ndo maana wameanzisha mji wa viwanda
 
Njombe kahama zimezidiwa na mufind kwenye pato la taifa kwa mwaka mufind ambayo ni mafinga inashika nafas ya pili au ya 3 je izo sehemu ulizo zitaja zinashika nafas ya ngap
 
Njombe kahama zimezidiwa na mufind kwenye pato la taifa kwa mwaka mufind ambayo ni mafinga inashika nafas ya pili au ya 3 je izo sehemu ulizo zitaja zinashika nafas ya ngap
Kumbuka saiz mafinga na mufindi zilisha tengana ni halmashauri mbili tofauti Sasa unachanganyaje hayo mapato Tena hata wakichanganya mapato Yao mufindi na mafinga kwa tunduma hawatoboi
 
Mkoa wa njombe now unaangaliwa kwa jicho jingine na Serikali kutokana na fursa ulizonazo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Mkurugenzi wa Cultural Museum Kutoka Arusha Atembelea Njombe kwa Lengo la Uwekezaji

Mkurugenzi wa Cultural Museum kutoka Mkoa wa Arusha, Bw. Wito Msafiri, amefanya ziara ya kikazi mkoani Njombe leo, tarehe 21 Novemba 2024, kwa lengo la kutazama fursa za uwekezaji wa Kijiji cha Utamaduni. Akiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, Bw. Msafiri alieleza dhamira yake ya kuanzisha mradi huo ili kukuza utalii wa kiutamaduni na uchumi wa mkoa huo.

Mhe. Mtaka alimkaribisha kwa furaha na kupongeza hatua hiyo, akisema, β€œTunafurahi kuona wawekezaji wenye mtazamo wa kuendeleza utamaduni na utalii wanavutiwa na Njombe. Hii ni fursa kubwa kwa mkoa wetu, na tutatoa ushirikiano wa karibu kuhakikisha mradi huu unafanikiwa.”

Mara baada ya kuwasilisha maelezo ya mradi huo, Bw. Msafiri alimkabidhi Mhe. Mtaka zawadi ya picha nzuri inayoonyesha kazi ya sanaa na kikombe cha kipekee, ishara ya kuthamini urithi wa kiutamaduni wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…