Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
Zoom ππππHaya Sasa umeona wenzio wamewekewa lami hadi mitaani angalia vijiji vyako ulivo vileta nje ya main road mitaani ni mavumbi tu na njia za ngombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zoom ππππHaya Sasa umeona wenzio wamewekewa lami hadi mitaani angalia vijiji vyako ulivo vileta nje ya main road mitaani ni mavumbi tu na njia za ngombe
Tu zoom wakati vijiji vinaonesha na tumesha pita huko Wacha njombe iendelee kutanua mji wa viwanda na biasharaππππππZoom ππππ
Na utapata tabu Sana wenzenu wanaenda kwa future na geographical position ya eneo KATIKA uwekezaji ππππUnapost kijumba kimoja kimoja why can't you post the whole thing?π€π€π€
Ndio maana nakuambia ushamba unakusumbua, yaani kila Kijiji huko ni old-fashioned π€£π€£π€£ wait nikutoe matongotongo.
Mzee wa mapaa angalia wenzenu Wana deal na nn Ndo utajua njombe imejipanga ko mnavopanga kuwa mnataka mji wa aina gani lazima mwende kwenye mataifa makubwa yaliyopiga hatua na yamewekeza kwa mfumo huo πππππNdio maana nakuambia ushamba unakusumbua, yaani kila Kijiji huko ni old-fashioned π€£π€£π€£ wait nikutoe matongotongo.
SOma hiyo ndo UTAELEWA kwanini wenzenu wame plan kuwa na mji mkubwa wa viwanda na biashara ππππππππππMAENDELEO YA UWEKEZAJI MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMANdio maana nakuambia ushamba unakusumbua, yaani kila Kijiji huko ni old-fashioned π€£π€£π€£ wait nikutoe matongotongo.
Kigoma hakuna kutu
Naona baada ya geita na shinyanga kukandwa na mkoa wa njombe umehamia kigoma utamaliza kote wenzio walisha nyosha mikono juu njombe ni level zingine Mzee wanafikiria mambo makubwa tu ndo maana wanazidi kuporomosha majengo makubwa ya kibiashara ndani mji wa viwanda na biashara MAKAMBAKOKigoma hakuna kutu View attachment 3153921