Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
 
Pole sana makambako sio linear settlement kama katoro makambako ni junction ya mikoa ya nyanda za juu kUsini elewa hilo
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Toka Lin junction ikawa na linear settlement haya maajabu google map haijakusaidia basi dodoma jiji. Na morogoro nazo ni linear settlement πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚visit njombe mzee ANGAliahapo makambako zinakutana Barabara ngapi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
800px-Makambako_ramani.jpg
IMG-20241030-WA0014.jpg
 
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Hili eneo linalo ongelewa ni junction haya tukusaidie types of settlement nucleated settlement
58cfa9d87f8ca9b1dd234fa1617aaf39.jpg
slide1-n~2.jpg
1732590585400.jpg
Iringa roadπŸ‘‡πŸ‘‡
FB_IMG_16755156315245458.jpg
mbeya roadπŸ‘‡πŸ‘‡
FB_IMG_16755157129351564.jpg
Songea road πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
FB_IMG_16728517915595809.jpg
 
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Linear settlement ndo zipo huko katoro
A-map-of-Geita-District-showing-the-study-area-Source-Adopted-from-GDC-2013_Q320.jpg
slide1-n~2.jpg
 
Hili eneo linalo ongelewa ni junction haya tukusaidie types of settlement nucleated settlementView attachment 3187913View attachment 3187943View attachment 3187951Iringa roadπŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3187917mbeya roadπŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3187926Songea road πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3187927
Mji hauna mvuto kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€—πŸ€—
Achana na huu mji, ebu leta subtown zenu zenye majengo zaidi ya 6000, kama hakuna jua Geita hamuiwezi
 
Mji hauna mvuto kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€—πŸ€—
Achana na huu mji, ebu leta subtown zenu zenye majengo zaidi ya 6000, kama hakuna jua Geita hamuiwezi
USHAKULA ZA USO HII MADA MZEE ULIVAMIA HII MIJI HUIJUI KINDAKINDAKI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚MAPEMA UNAHAMISHA MAGORI kuwa mpole mkoa wa njombe Uendelee na program yake ya mji wa viwanda na biashara hapa Pana kata 33 zenye mwingiliano mkubwa ko hawaja kurupuka eneo linashawishi wawekezaji ko Kaa Kwa kutulia baada ya miaka miwili mbele utaziona impact Wacha waendelee na ujenzi wa kongani za viwanda na kumbuka hata dodoma JIJI ilibezwa hivyo hivyo ila Leo hii linaenda kuwa jiji la pili kwa ukuaji nje DSM KO NIMIPANGO HAWAKURUPUKI
GeMz11CW8AE5SDF.jpg
GeMz10jXYAA8IgO.jpg
GeMu8VMXoAAoojk.jpg
1731899445905.jpg
IMG_20240206_152934_143.jpg
IMG_20240105_104603_675.jpg
IMG_20231229_162328_491~2.jpg
FB_IMG_16727495359454879.jpg
 
Wakati, mnajadili ya kahama na njombe nawakumbusha kuwa sasa GEITA NI MANISPAA NJOMBE ENDELEENI KUUZA PARACHICHI
Hilo ni suala la Muda tu tunacho angalia fursa na usasa wa mji kumbuka njombe tc Ina gorofa 139 na geita MC 90 zingatia hilo
 
Mji hauna mvuto kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€—πŸ€—
Achana na huu mji, ebu leta subtown zenu zenye majengo zaidi ya 6000, kama hakuna jua Geita hamuiwezi
Mvuto ni huu msikilize mwekezaji wa kongani ya viwanda vya chuma makambako kwa nini ameamua kujenga viwanda vyake hapo na ukumbuke chuma ndo engine ya viwanda dunian ko Hilo eneo litasheheni viwanda ndo maana tulikwambia hulijui la mbeleni kwa nini njombe Ina plan HiYo imeshaangalia miaka kadhaa mbele πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡"MCHINA AJIBU MASWALI YA MADIWANI LUDEWA KWA KISWAHILI, AOMBA KUSAIDIWA, MBUNGE ATIA NENO - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=cricm0hwiO4&pp=ygUYZnVqaWFuIGhleGluZ3dhbmcgbHVkZXdh
 
KUPITIA MABORESHO YANAYOTARAJIWA KUFANYIKA TAZARA NAONA TANZANIA NA ZAMBIA ZIMEJIPANGA SANA KUWA NA MIJI YA VIWANDA NA BIASHARA Wachina wanajenga viwanda vya kutosha MFANO Lusaka Zambia wapo moto kubadili jiji lao kuwa la viwanda na biashara wamesha zindua kiwanda Cha chuma tayari ko hii challenge kwa nchi yetu HASA nyanda za juu kUsini kuliendeleza wazo la mkoa wa njombe kuwa na mji wa viwanda na biashara ili tuweze kushindana nao kwenye soko la SADC kama walivoanza program ya ujenzi wa viwanda vya MADAWA , chuma , na parachichi pia inatakiwa vianze na vya furniture, maana nyanda za juu kUsini Ina rasilimali nyingi za viwanda I kushinda hata zambiaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Soko la Tanzania linaelekea kupata faida kutokana na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi wa kutosha na wa gharama nafuu kufuatia uzinduzi wa hivi karibuni wa Kiwanda cha Chuma cha Powerful Diligent Veracious (PDV) Metals Limited nchini Zambia.

Kiwanda hicho, ambacho ni ubia na Kikundi cha PDV cha China, kina uwezo wa kuzalisha tani 300,000 za chuma kila mwaka na kinalenga kuleta utulivu wa minyororo ya usambazaji wa ujenzi katika eneo lote.

Kiwanda hicho kilizinduliwa na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema, ambaye aliwapongeza wawekezaji wa China kwa jukumu lao la kuanzisha kituo hicho.

Kaimu Waziri wa Biashara, Biashara, na Viwanda Paul Kabuswe alisisitiza kuwa kiwanda hicho siyo tu kwamba kinatazamiwa kukuza sekta ya viwanda ya Zambia lakini pia kinatarajiwa kuchochea maendeleo ya mgodi wa madini ya chuma, ambao utachochea ukuaji katika sekta zinazohusiana.

Alisema kutokana na asilimia 50-70 ya pato la kiwanda hicho kuuzwa nje ya Tanzania, kituo hicho kiko katika nafasi nzuri ya kusaidia miradi muhimu ya miundombinu na viwanda nchini Tanzania.

Kabuswe alisisitiza kuwa mradi huo wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 230 ndio kituo kikubwa zaidi cha uzalishaji wa rebar Kusini mwa Afrika na uko tayari kusambaza miradi ya Tanzania kwa bidhaa za chuma za hali ya juu kwa bei ya ushindani, na kujenga sura mpya kwa sekta ya chuma nchini Tanzania.

Sekta za madini, uchukuzi na ujenzi nchini Tanzania zinatarajiwa kunufaika na ongezeko hili la usambazaji wa chuma. Kiwanda cha PDV Metals kitasaidia kuleta utulivu wa minyororo ya ugavi, kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje, na kukuza mfumo wa ikolojia wa viwanda unaojiendesha wenyewe nchini Tanzania.

101-240PZ941202b.jpg

VIwanda vingine
7358_LIAL_004.jpg
7358_LIAL_001.jpg
lusaka-south-mfez.jpg
 
Ndo maana tumekwambia jiografia ya njombe huijui Na mkoa umekaaje huijui unaishia kuangalia kwenye Google map siku tembelea ndo utajua kwanini wenzio walianzisha na Uzi wa geita kuachwa mbali na njombe hata tukikuelezea Sana huwezi elewa fika eneo husika ndo utajua
Geita ni Manispaa saivi, harafu Njombe bado ni kamji kadogo na population ndogo ko itaendelea kuwa nyuma ya Geita
 
After ten years Geita itaomba kuwa jiji mark my words, rate ya ukuaji wa mji ni balaa
Miji yote inakuwa uwe unatembea tunacho angalia plan za mji ni zip Hiv umejua Serikali kuipa support njombe kwa kuwapeleka watalamu china wakajifunze uwekezaji wa kongani ya viwanda baada ya miaka kumi Hilo eneo litakuaje kaiangalie Lusaka Zambia nayo ilipeleka watalamu china mwaka 2019 Leo hii wachina wamejenga viwanda vya kutosha na kupitia reli ya TAZARA viwanda vitakuwa vingi mno haya geita toka wameanza kuchimba madini hadi Leo hamna hata kiwanda kikubwa Cha dhahabu ko ndo ujue Plani zenu bado ndogo njombe migodi ya chuma inaanza tayari wamesha plan na mji wa viwanda akili kubwa
nnn.jpg

After ten years Geita itaomba kuwa jiji mark my words, rate ya ukuaji wa mji ni balaa

lusaka
Cold-storage-Zambia.jpg
mqdefault.jpg
 
Back
Top Bottom