Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwa nini uondoe Vyuo? Halafu Hivyo vyuo vyote ukiondoa Mkwawa vimejengwa kwa Jubudi za Wana Iringa,
Halafu iringa ni Miongoni mwa Mikoa minne Tajiri Tz.
Kilimo never disappoint mzee,
Ndio maana Mikoa ya Kusini imepiga hatua sana despite insignificant gov inputs,
Huku kusini watu wanachakarika, madini contributes to only less than 5% of National Income na pesa yake hubaki kwa watu wachache sana.
Sifa za sehemu za migodi huwa ni common kote, yaani watu wengi wanaofanya kazi migodini,
Umaskini wa kutupwa, Pesa chafu knayofanya starehe ziwe nyingi, Ngono zembe, Matukio ya mauaji, Na mwisho uchumi wa maeneo kama hayo siyo sustainable.
Kimsingi starehe za Migodini ni Pombe na Ngono tu.
Hata hivyo kwa sifa hizi mmemwaga humu najipanga kutembelea hapo Kahama, Lazima hiyo pesa ya madini wababe tuinyakue.
Iringa haipo katika mikoa tajiri 5, punguza uongo basi, unapozungumzia ngono kahama kwenye madini, kila mkoa ngono inafanyika, ata Iringa ngono zinafanyika ndio maana ni wa 3 kwa Ukimwi. Usisifie kitu kwa kuwa unatoka huko. Vyuo Voulu Iringa ni vya dini 2(Ruaha cha Wakatoliki na Tumaini Luther), na Serikali Cha Walimu Mkwawa, sasa unasemaje hivyo vyuo vyotew vimejengwa na Wananchi wakati viwili ni vya Private ?. Iringa ni ya kawaida sana kwa sisi tunaoujua, hauna mchanganyiko wa watu, Wahehe tu mkoa mzima, akili zimesinyaa pale. Tofauti na njombe kuna Wapangwa, Wabena, Wakinga, Wahanji, Wamanda na Wasangu au Kahama ambapo makabila ya nchi yote yapo pale.
 
Ma
Kahama kuna nini ambacho hakipo kwingine?
Kahama kuna madini,pamba,ng'ombe,misitu ya asili,mpunga.bandari ya nchi kavu.
Njombe kuna miti ya kupandwa(mbao),viazi mviringo,chai,parachichi,mahindi,maharage,makaa ya mawe,
Watu was kahama wanamili pesa nyingi kuliko was njombe has a ukilinganisha biashara za maduka ya kahama na njombe.Njombe unaweza kutafuta kitu dukani usikikute mpaka uende mbeya.
 
Yaani kwenye mapesa mengi ya mbao na kila mazao ndo ulinganishe na Kahama bush huko?
Mawe mawili ya dhahabu yanaweza nunua misitu yote ya njombe.mbao sio dili kama nadini ya dhahabu.ng'ombe 4 unanunua heka nzima ya shamba la miti la miaka 7.Usukumani kuna hela ila wasukuma sio watu wa kujikweza.
 
Umesoma hizo points hapo juu au unajifariji wakati unajua yajayo kwa Kahama yanahuzunisha.
Usifananishe nchi ya ahadi(Njombe) iliko bustani ya Eden(kitulo) na vitu vya kijinga kijinga walikojaa maskini
Mashamba yote mmewauzia wageni.mnachofanya ni kuwasaidia kupasua mbao na kujaza kwenye malori na kisha hela zinaenda dar.MNA njaa sana mnauza vimisitu vichanga badala ya kuvumilia mpaka ikomae.Wenzenu wasukuma hawauzagi ng'ombe hovyohovyo.Hebu niambie huo utajiri mnamiliki nini?,Mimi nipo njombe na wabena ndio vibarua wangu wakubwa.
 
Na road ya Ifakara ikikamilika,na Mbeya makete Njombe ikimalizika movements za biashara zitakuwa kubwa sana kati ya Mbeya Njombe Ifakara lazima vumbi liwatimkie watu wa Songea na Iringa maana hata mabus ya Dar yata skip kupitia Iringa sasa yatapitia Njombe na Ifakara to mikumi
Acha kudanganya, Mby na Njmb hawawezi Fanya biashara.Mazao yanayolimwa mby ni hayo hayo yanalimwa Njmb sasa mtafanya biashara gani.Sijawahi ona gari linajaza viazi mviringo linapeleka mby toka njmbe.Njmb na Mby wote soko lao ni mikoa ya pwani na Dodoma.Labda zitatumika kwenda kusalimia ndugu huko makete.
 
Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Mafinga has potential to grow than kahama, i have been in both places! Mafinga has timber which is more valuable to me than minerals!!! Which 4 me has less impact to locals than timber!!
 
Mafinga has potential to grow than kahama, i have been in both places! Mafinga has timber which is more valuable to me than minerals!!! Which 4 me has less impact to locals than timber!!
Timber ni continuous product, lkn minerals wanachimba zikiisha zimeisha!! Thats a fact basing on natural resources found in these places!!
 
Kusini na
Yani tunaongoza nchi unatuita washamba na masikini?
.
Tuna mikoa mingi, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, hata Tabora ni Usukumani tu
Kusini wasukuma wamejaa,Chunya,mbarali hata songea walihamia na mang'ombe ngosha.Wasukuma watakuja kuitawala hii nchi kila idara,walilala zamani.Sasa hivi idadi yao ni kubwa sana vyuoni.Sukuma ni kabila kubwa sana Afrika kama Igbo,jaluo,masai nk.
Zamani ilikuwa shida sana kuwakuta wasukuma maofisini sasa hivi kila wilaya wapo.Nawapongeza wasukuma mpo juu.MNA jiji kubwa la pili baada ya Dar.Huwezi linganisha mbena na msukuma kimaendeleo msukuma yupo mbali kinawaangusha ni idadi yao kuwa kubwa tu.Hakuna mtanzania anaemzidi msukuma katika kuwajibika shambani.
 
Timber ni continuous product, lkn minerals wanachimba zikiisha zimeisha!! Thats a fact basing on natural resources found in these places!!
Yataisha lini mkuu,mbona mnapenda kudanganywa.Hivi mwadui ilianza Leo mbona hata dalili kuwa diamond zitaisha hatujawahi sikia.Acheni kupotosha.Madini ni biashara smart kuliko mbao ,mbao zingekuwa dili ungeona mwarabu na mzungu huko makambako.Lakini kahama kuna kila race,muhindi,mwarabu,mzungu makabila yote ya Tz na nje ya Tz. Acheni ushabiki wa kijinga hizo fursa ni za watz wote.Nenda kachimbe madini,kapande miti,kanunue mbao.Hakuna mkoa wa mbena wala msukuma,Changamkieni fursa kama mchaga,muha,mnyakyusa popote huweka kambi mmekalia mkoa gani sijui wenzenu wachaga wanajipenyeza wanapiga hela.Amkeni!!!!!!!
 
Acha kudanganya, Mby na Njmb hawawezi Fanya biashara.Mazao yanayolimwa mby ni hayo hayo yanalimwa Njmb sasa mtafanya biashara gani.Sijawahi ona gari linajaza viazi mviringo linapeleka mby toka njmbe.Njmb na Mby wote soko lao ni mikoa ya pwani na Dodoma.Labda zitatumika kwenda kusalimia ndugu huko makete.
Pole mkuu kwani biashara ni ya viazi tuu? Kwani hujui Njombe kuna matunda mengi? Hata hivyo hiyo barabara inafika hadi mikumi via Ifakara.
Ukiacha hivyo ni shortcut ya ya kufika Njombe badala ya kuzunguka Makambako lakini itatumiwa zaidi na watalii kuja kitulo national park kutokea Mbeya etc etc
 
Pole mkuu kwani biashara ni ya viazi tuu? Kwani hujui Njombe kuna matunda mengi? Hata hivyo hiyo barabara inafika hadi mikumi via Ifakara.
Ukiacha hivyo ni shortcut ya ya kufika Njombe badala ya kuzunguka Makambako lakini itatumiwa zaidi na watalii kuja kitulo national park kutokea Mbeya etc etc
Nimesema mazao yote yalimwayo Njmb Mbeya yapo
 
Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Agreement Hotel
 

Attachments

  • 2018-07-03.jpg
    2018-07-03.jpg
    12.4 KB · Views: 35
  • 2017-03-15.jpg
    2017-03-15.jpg
    12.4 KB · Views: 34
Shinyanga ina kaupendeleo tu kisa iko barabara kuu, ila kwa speed ya sasa ya kahama inapitwa mengi.
.
Njombe haipafikii Kahama japo inawekewa kauzibe sana
lakini kwa maoni yangu kahama inakuwa coz ya dhahabu na madini, ila hio madini ikiisa taabu, ukiangaria miji kaa njombe na mafinga they have bright future coz wanategemea kilimo sana, na ile kitu wanastahili wafanye ni kulima kwa njia za kisasa(PRECISION AGRICULTURE) alafu wawekeze kweye proccesing industries, ha hizo watakuwa mbele kabisa
 
Back
Top Bottom