Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ukiona mji hauna mwarabu wala muhindi hapa duniani usiishi hata kama ni weusi wenzio.Njombe haina hao watu.
 
Mwenye contacts za dalali wa viwanja Kahama aziweke hapa.

Nataka kiwanja maeneo ya Mhongolo Centre. at least 100M or less kutoka hiyo barabara ya lami.

Ningependa anayetumia social media.
 
Kusini na

Kusini wasukuma wamejaa,Chunya,mbarali hata songea walihamia na mang'ombe ngosha.Wasukuma watakuja kuitawala hii nchi kila idara,walilala zamani.Sasa hivi idadi yao ni kubwa sana vyuoni.Sukuma ni kabila kubwa sana Afrika kama Igbo,jaluo,masai nk.
Zamani ilikuwa shida sana kuwakuta wasukuma maofisini sasa hivi kila wilaya wapo.Nawapongeza wasukuma mpo juu.MNA jiji kubwa la pili baada ya Dar.Huwezi linganisha mbena na msukuma kimaendeleo msukuma yupo mbali kinawaangusha ni idadi yao kuwa kubwa tu.Hakuna mtanzania anaemzidi msukuma katika kuwajibika shambani.
😆😆😆😆 Wasukuma mnachoweza ni kuzaliana kama panya na umaskini unakuwa haki yenu ndo maana mko wengi
Eti ndio wachapakazi acha kuchekesha ndugu ndio mngekuwa mnaongoza kwa umaskini huko kwenye mikoa yenu? Unaanzaje kulinganisha wabena na wakinga kwa kusaka pesa hivi uko timamu wewe ndugu,wabena na wakinga mkoa wetu unaongoza kwa maendeleo nje ya Dar na tumeshikilia kariakoo,Mbeya,Iringa,Rukwa,songwe na Ruvuma na huko kwingine tupo kiasi ikiwemo Kahama
 
Ngumu kupata kwa maeneo hayo wengi wameshavimaliza, hata kama ukipata inakuwa ghari sanaa
Mwenye contacts za dalali wa viwanja Kahama aziweke hapa.

Nataka kiwanja maeneo ya Mhongolo Centre. at least 100M or less kutoka hiyo barabara ya lami.

Ningependa anayetumia social media.
 
lakini kwa maoni yangu kahama inakuwa coz ya dhahabu na madini, ila hio madini ikiisa taabu, ukiangaria miji kaa njombe na mafinga they have bright future coz wanategemea kilimo sana, na ile kitu wanastahili wafanye ni kulima kwa njia za kisasa(PRECISION AGRICULTURE) alafu wawekeze kweye proccesing industries, ha hizo watakuwa mbele kabisa
That is what they are doing now,so far there are more processing industries in Njombe than in Kahama
 
Ukiona mji hauna mwarabu wala muhindi hapa duniani usiishi hata kama ni weusi wenzio.Njombe haina hao watu.
😆😆😆😆 Huku hawana hiyo jeuri tumewadhibiti Kama tunavyowahamisha kariakoo
Kama shida yako ni wahindi na waarabu hamia sumbawanga mkuu
 
Vitu kama hivi Kahama watakuwa wanaona kwenye Tv tuu eti ndio kuna pesa huko watu wanalala kwenye mashimo ya migodi badala ya hoteli 🤣🤣🤣🤣
Nilitaka kuwaonyesha wanaotetea Kahama kuwa Njombe hawaijui na Sasa tunawapa ushahidi wa picha waone mahoteli yaliyopo Njombe walinganishe na zilizopo Kahama.Njombe ipo juu wasiporidhika tutawaonyesha vitu vingine kwa picha

Hotel zilizopo Njombe
1.Dosmeza Hotel,
2.Agreement Hotel
3.FM Hotel
4.Glory Hotel
5.JD Hotel
6.Chani Hotel
 
Ma

Kahama kuna madini,pamba,ng'ombe,misitu ya asili,mpunga.bandari ya nchi kavu.
Njombe kuna miti ya kupandwa(mbao),viazi mviringo,chai,parachichi,mahindi,maharage,makaa ya mawe,
Watu was kahama wanamili pesa nyingi kuliko was njombe has a ukilinganisha biashara za maduka ya kahama na njombe.Njombe unaweza kutafuta kitu dukani usikikute mpaka uende mbeya.
Subiri barabara ya Kigoma ikamilike uone kama hayo maduka yataendelea kuuza
 
Nimesema mazao yote yalimwayo Njmb Mbeya yapo
Pole hujui kitu Mbeya kuna apples,furis,strawberry? Njombe Kuna mpunga? Wewe tulia barabara ikamilike ndio uje kuuliza maana inapita maeneo yenye mandhari kama mbele yaani utalii utanoga sana
 
Mawe mawili ya dhahabu yanaweza nunua misitu yote ya njombe.mbao sio dili kama nadini ya dhahabu.ng'ombe 4 unanunua heka nzima ya shamba la miti la miaka 7.Usukumani kuna hela ila wasukuma sio watu wa kujikweza.
Hakuna mali inayokunya ndugu kama huamini kakopee bank 😆😆😆😆
Mnavyopenda sifa mtaacha kujisifu nyie,kama kweli mnapesa how comes mnaongoza kwa umaskini?
Afu hayo madini yangekuwepo kwa kiwango hicho kila mtu angehamia Kahama badala yake mnapigika tuu na njaa na umaskini
 
FM Hotel,JD Hotel Chani Hotel
wera weraaaa wape mapicha nilijaribu kuapload juzi zikagoma, wape pia soko jipya stend mpya mjimwema iyo pia kuna mijengo miwili karibu na turbo apo opp na mahakama ya mwanzo au stend ya zamani
 
Hakuna mali inayokunya ndugu kama huamini kakopee bank 😆😆😆😆
Mnavyopenda sifa mtaacha kujisifu nyie,kama kweli mnapesa how comes mnaongoza kwa umaskini?
Afu hayo madini yangekuwepo kwa kiwango hicho kila mtu angehamia Kahama badala yake mnapigika tuu na njaa na umaskini
Hivi kwanini mwanza ni jiji lkn ni miongoni mwa mikoa masikini sana tz, pia shy wanaumaskini wa kutupwa unafuu wao wa kuwa na madini na ngombe nyingi unawasaidiaje
 
Hahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?
.
Mwanza-Shinyanga ni KM 141 na si chache ni nyingi mnooo ni masaa mawili hadi matatu kwa gari.
Njombe ni porini kumejificha watu ni washamba, Kahama wajanja wengi alafu sio wasukuma tu wametoka maeneo mbalimbali ya nchi na jirani
Mkuu,kutoka Mza to Shy,ni km 164, pia kahama inazidiwa na wilaya nyingi sana kimiundo mbinu,mfano Nzega ,Karagwe,Ngara,Korogwe,Kahama wameshindwa kujenga mitaa kwa kiwango cha Lami,kama wilaya nilizo taja japo hazina vyanzo vikubwa kama kahama,mfano wakati wa masika ukiwa majengo ,nyasubi,igomelo, nk,inabidi uvue viatu na ukunje suluali,Kahama sitendi kuu ya Mabasi ni aibu,sijui hata Buzwagi ikifungwa leo watabaki na kipi cha kujivunia?labda kituo cha Afya kilichopo kalibu na Mgodi Mwendakulima,Kahama inatia aibu.
 
Nilitaka kuwaonyesha wanaotetea Kahama kuwa Njombe hawaijui na Sasa tunawapa ushahidi wa picha waone mahoteli yaliyopo Njombe walinganishe na zilizopo Kahama.Njombe ipo juu wasiporidhika tutawaonyesha vitu vingine kwa picha
Hotel zilizopo Njombe
1.Dosmeza Hotel,
2.Agreement Hotel
3.FM Hotel
4.Glory Hotel
5.JD Hotel
6.Chani Hotel
harafu mkuu umechelewa kuja kujibu hoja hizi ungewahi mapema tungekuwa tumeshawanyosha mapemaaaa naona ujio wako umechangia wengi kukimbia huko kahama
 
wera weraaaa wape mapicha nilijaribu kuapload juzi zikagoma, wape pia soko jipya stend mpya mjimwema iyo pia kuna mijengo miwili karibu na turbo apo opp na mahakama ya mwanzo au stend ya zamani
Njombe n zaidi ya Kahama wakibisha tunaweka ushahidi zaidi na wao waweke wao
 
Mkuu,kutoka Mza to Shy,ni km 164, pia kahama inazidiwa na wilaya nyingi sana kimiundo mbinu,mfano Nzega ,Karagwe,Ngara,Korogwe,Kahama wameshindwa kujenga mitaa kwa kiwango cha Lami,kama wilaya nilizo taja japo hazina vyanzo vikubwa kama kahama,mfano wakati wa masika ukiwa majengo ,nyasubi,igomelo, nk,inabidi uvue viatu na ukunje suluali,Kahama sitendi kuu ya Mabasi ni aibu,sijui hata Buzwagi ikifungwa leo watabaki na kipi cha kujivunia?labda kituo cha Afya kilichopo kalibu na Mgodi Mwendakulima,Kahama inatia aibu.
safi sana sana, boss unajibu kwa fact, kahama haifananii na mapato wanayotoa pako ovyo
 
Ukiona mji hauna mwarabu wala muhindi hapa duniani usiishi hata kama ni weusi wenzio.Njombe haina hao watu.
We kweli kilaza, wahindi kitu gani, wanyonyaji hao wanavizia sehemu zenye washamba wengi ili wawapige vzr pesa. Njombe wajanja wengi mhindi,mchaga,mwarabu wote hawawezi. Na sasa wana njombe tunainunua kariakoo hapo mchaga, mhindi mwarabu lazma wasepe
 
Back
Top Bottom