Mzee kwamba huoni?? Nitajie sehemu hata moja ya jiji la mbeya ambayo unaeza enda ukapiga hata picha, trust me Haipo..
kwangu mbeya ni Home pia, but Huwezi fananisha mbeya na Iringa, Iringa ni mji mzuri, Uliopangwa vizuri, Hali ya Hewa Safi, watu pia wasafi, mji organized, 24hrs maji safi yapo, Mbeya can beat Iringa May be kwa Size,
Mbeya is one of the Dustiest city ever, ushaenda mbalizi mwezi wa tisa wewe? Au jaribu tembea kwa mguu toka mabatini hadi Mama Joni,
Vumbi la kufa mtu, bajaji kede na mabodaboda.
Iringa ni padogo kuliko mbeya ila ukiwa mjini you feel upo mjini, houses are actual houses, Tembea kwa mguu popote hutahitaji kubrush kiatu chako..
Sio mbeya mabati ya kutu na majumba ya udongo kotekote kuanzia mbalizi hadi mabatini, Uje hadi Uyole na Sae, ukienda ile njia ya Makunguru hadi Isanga ndio uwiii[emoji51]
Infact mbeya ni very disorganized wewe unafahamu hili sitaki kukuelezea zaidi,
By the way, Mbeya na Iringa kote ni Home,
Tunahitaji barabara sita toka Inyala hadi Uwanja wa ndege kule Songwe, kile kiuchochoro kwakweli its shame kwa mkoa unaochangia pato la nchi kwa sehemu kubwa, yaani kile kibarabara kimefanya msongamano wa magari ikiwa magari yenyewe sio mengi sana, Ile bypass ijengwe but Barabara Sita is a Must,
We need a real Mbeya City, not like the current one.
Hii serikali imekuwa ikiipotezea Mbeya kwa miongo mingi sana. No way.