Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Potential ya Njox ni kubwa Sana kuliko hizo hadithi za uchuuzi town ya Kahama and the likes,kwenye nyanja zote except population
Kuna mtu anazungumza eti miradi ya serikali ya ccm sasa tofauti na reli Kuna kitu gani Cha ziada wakati huku Njombe ni Kuna miradi mikubwa ya kuzalisha umeme,uwanja wa ndege na Viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya kilimo na mbogamboga.So far Kuna Viwanda Hadi vya kusindika maziwa
Ukija kwenye barabara Ndio usiseme maana mji na mkoa wa Njombe unaendelea kufunguliwa kila upande wa mkoa.Jamani nadhani mnajua jinsi green gold inavyoipaisha Tzn huko Ulaya,Jafo ameufichia aibu Kahama Hadi sasa hajatoa final revenues maana mapato ya mwisho mwezi wa pili tulishavuka zaidi ya bln 3.5
 
Hata ukitoa reli, bado miradi inayowekezwa Kahama bado Njombe haifikii au na Ilani hujaipitia Mkuu?
 
Haha anga
Potential ya Njox ni kubwa Sana kuliko hizo hadithi za uchuuzi town ya Kahama and the likes,kwenye nyanja zote except population
Kuna mtu anazungumza eti miradi ya serikali ya ccm sasa tofauti na reli Kuna kitu gani Cha ziada wakati huku Njombe ni Kuna miradi mikubwa ya kuzalisha umeme,uwanja wa ndege na Viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya kilimo na mbogamboga.So far Kuna Viwanda Hadi vya kusindika maziwa
Ukija kwenye barabara Ndio usiseme maana mji na mkoa wa Njombe unaendelea kufunguliwa kila upande wa mkoa.Jamani nadhani mnajua jinsi green gold inavyoipaisha Tzn huko Ulaya,Jafo ameufichia aibu Kahama Hadi sasa hajatoa final revenues maana mapato ya mwisho mwezi wa pili tulishavuka zaidi ya bln 3.5
Angalia makadilio ya ambayo inatakiwa mkusanye Ni bln ngap na kahama Ni bln ngapi hapo ndo utajua Nani yupo juu maana unaweza ukawa wakwanza kiasilimia kumbe kiasi ulicho kadiliwa Ni kidogo ko Hilo nalo ulijue
 
Gap linafungwa kwa Kasi Sana,mwaka huu na uhakika mapato ya Njombe yamefikia 5 bln mbali Sana na makadirio ya 4 bln wakati Kahama miaka nenda Rudi mnacheza na 6 bln yaani hakuna kinachoongezeka na hamjawah fikia makadirio yenu,,kumbuka miaka 5 iliyopita Njombe ilikuwa below 2 bln lakini saizi inaifukuzia Kahama,unapata jibu gani hapo?
 
Hapo umeshakubali kuwa kahama ipo juu sasa bln 6 alafu njombe makadilio Ni bln 3.5 sio 4 na hicho ndo kipimo kuwa kahama wapo mbali
 
Potential ya Njox ni kubwa Sana kuliko hizo hadithi za uchuuzi town ya Kahama and the likes,kwenye nyanja zote except population
Kuna mtu anazungumza eti miradi ya serikali ya ccm sasa tofauti na reli Kuna kitu gani Cha ziada wakati huku Njombe ni Kuna miradi mikubwa ya kuzalisha umeme,uwanja wa ndege na Viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya kilimo na mbogamboga.So far Kuna Viwanda Hadi vya kusindika maziwa
Ukija kwenye barabara Ndio usiseme maana mji na mkoa wa Njombe unaendelea kufunguliwa kila upande wa mkoa.Jamani nadhani mnajua jinsi green gold inavyoipaisha Tzn huko Ulaya,Jafo ameufichia aibu Kahama Hadi sasa hajatoa final revenues maana mapato ya mwisho mwezi wa pili tulishavuka zaidi ya bln 3.5
Maana hata barabara unazo sema hujui tayar njombe itaathirika tena kumbuka mtu wa ludewa makete na lupembe atakuwa halali Tena njombe atanyooka mazima dar alafu viwanda vimeaidiwa vingi makambako na sio mji wa njombe na vingine wameanza kujenga
 
Gap linafungwa kwa Kasi Sana,mwaka huu na uhakika mapato ya Njombe yamefikia 5 bln mbali Sana na makadirio ya 4 bln wakati Kahama miaka nenda Rudi mnacheza na 6 bln yaani hakuna kinachoongezeka na hamjawah fikia makadirio yenu,,kumbuka miaka 5 iliyopita Njombe ilikuwa below 2 bln lakini saizi inaifukuzia Kahama,unapata jibu gani hapo?
Kumbuka Kahama ni Wilaya inayoshindanishwa na Njombe makao makuu ya mkoa [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]. Ilani hiyo hapo. Search neno KAHAMA na NJOMBE uangalie miradi then uta evaluate mwenyeweView attachment ILANI YA CCM 2020.pdf
 
Potential ya Njox ni kubwa Sana kuliko hizo hadithi za uchuuzi town ya Kahama and the likes,kwenye nyanja zote except population
Kuna mtu anazungumza eti miradi ya serikali ya ccm sasa tofauti na reli Kuna kitu gani Cha ziada wakati huku Njombe ni Kuna miradi mikubwa ya kuzalisha umeme,uwanja wa ndege na Viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya kilimo na mbogamboga.So far Kuna Viwanda Hadi vya kusindika maziwa
Ukija kwenye barabara Ndio usiseme maana mji na mkoa wa Njombe unaendelea kufunguliwa kila upande wa mkoa.Jamani nadhani mnajua jinsi green gold inavyoipaisha Tzn huko Ulaya,Jafo ameufichia aibu Kahama Hadi sasa hajatoa final revenues maana mapato ya mwisho mwezi wa pili tulishavuka zaidi ya bln 3.5
Unaugua sana... mosi Kahama mji haijawahi kushuka chini ya Njombe Mji kwenye makusanyo na haitokaa itokee.

Wacha nikufunze juu ya hii kitu inaitwa potentiality ya eneo..kuna factor ya distance... Mfano miji miwili iliyo karibiana haiwezi kukua kwa pace sawa.. mmoja lazima uzime kuruhusu mwingine kukua.

Dar na Mwanza, Arusha au Mbeya. Miji hii iko umbali mzuri na wakutosha from each other na kwa namna hiyo inaweza kukua independently or with less influence of the other.

Kwa nchi kama Rwanda yenye eneo Dogo aspect hii hakuna na eventually Miji iliyoko jirani kwa umbali stahiki itachukua hatamu (tunza hii point kichwani)

Mfano wa umbali mbaya ni Dar-Morogoro
Arusha-Moshi, Kahama-Shinyanga, Njombe-Makambako na Mafinga/Ilula-Iringa. Lazima Maendeleo ya mji mmoja yatakuwa dominant na mmoja lazima usubmit kama sehemu ya mji mwingine kwa utegemezi.

Mfano mzuri ni namna Bagamoyo na Kibah zilivyokuwa sehemu ya the great Dar es salaam region.

Ukiangalia jiografia ya Afrika ya mashariki, Kwa maana ya South Sudan, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, sehemu za Zambia na Malawi Kahama is the closest town to the center na ikiwa inapitia na njia kuu nyingi. Ukiwemo usafiri wa anga, barabara na reli ya SGR inayounganisha Rwanda Burundi na Eventually Congo na Uganda.

Wawekezaji wakubwa kama Bakhressa, Quality group, na Metl wameshafika wakiangazia fursa ya kufanya uzalishaji Kahama kuweza kucompete na wazalishaji ndani ya nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na Western Kenya.

Kurejea point ya kichwani, naomba nikwambie Kahama ndio itakuwa secondary city ya Kigali na Bujumbura By distance na by connectivity. Nikipata muda tutarudi tuendelee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka Bakhresa alituma team yake Kahama kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji. Halmashauri ya mji walitoa ushirikiano walihaidi kumpa hekari 100 bure na yeye ni kushughulikia hati miliki tu. YAJAYO YANAFURAHISHA. Sidhani kama Bakhresa atakataa hiyo offer ya kuwekeza Kahama.

Unaugua sana... mosi Kahama mji haijawahi kushuka chini ya Njombe Mji kwenye makusanyo na haitokaa itokee.

Wacha nikufunze juu ya hii kitu inaitwa potentiality ya eneo..kuna factor ya distance... Mfano miji miwili iliyo karibiana haiwezi kukua kwa pace sawa.. mmoja lazima uzime kuruhusu mwingine kukua.

Dar na Mwanza, Arusha au Mbeya. Miji hii iko umbali mzuri na wakutosha from each other na kwa namna hiyo inaweza kukua independently or with less influence of the other.

Kwa nchi kama Rwanda yenye eneo Dogo aspect hii hakuna na eventually Miji iliyoko jirani kwa umbali stahiki itachukua hatamu (tunza hii point kichwani)

Mfano wa umbali mbaya ni Dar-Morogoro
Arusha-Moshi, Kahama-Shinyanga, Njombe-Makambako na Mafinga/Ilula-Iringa. Lazima Maendeleo ya meeji mmoja yatakuwa dominant na mmoja lazima usubmit kama sehemu ya mji mwingine kwa utegemezi.

Mfano mzuri ni namna Bagamoyo na Kibah zilivyokuwa sehemu ya the great Dar es salaam region.

Ukiangalia jiografia ya Afrika ya mashariki, Kwa maana ya South Sudan, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, sehemu za Zambia na Malawi Kahama is the closest town to the center na ikiwa inapitia na njia kuu nyingi. Ukiwemo usafiri wa anga, barabara na reli ya SGR inayounganisha Rwanda Burundi na Eventually Congo na Uganda.

Wawekezaji wakubwa kama Bakhressa, Quality group, na Metl wameshafika wakiangazia fursa ya kufanya uzalishaji Kahama kuweza kucompete na wazalishaji ndani ya nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na Western Kenya.

Kurejea point ya kichwani, naomba nikwambie Kahama ndio itakuwa secondary city ya Kigali na Bujumbura By distance na by connectivity. Nikipata muda tutarudi tuendelee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Your true factor ya distance lazima iathiri sehemu nyingine lazima mji mmoja ukubali kuwa tegemezi mfano nataka nichukulie mkoa wa njombe na wilaya zake kwa asilimia kubwa wanategemea mahitaji na soko la mazao makambako pia hata wilaya ya mufundi iringa na mafinga tc pia wilaya ya mlimba morogoro hapa wameweka Hadi treni linakuja kuwa let shopping Mara mbili kwa wiki makambako Kuna wilaya ya mbalali Kuna madaba songea Hadi mbinga asilimia kubwa hizo sehemu nilizo taja wanachukulia bidhaa makambako pia kuna nchi jiran zinazo kuja kununua mazao Zambia Congo Zimbabwe Kenya msumbiji na Malawi nimejaribu kutoa taswira jinsi gani huyo anayedanganya watu et njombe Ina pontentially njombe itabakia kuwa wazalishaji ila soko Ni makambako ndo maana RCC mkoa wa njombe imeamua kuwa makambako iwe kitovu Cha biashara na sio njombe tc mfano nfra maghara ypo makambako makambuni makubwa yamewekeza makambako Kama export trading kampuni ya mo kampuni ya kibo kampuni ya mabati dragon msd kiwanda Cha dawa tpdc tank za mafuta Simba cement tembo cement nk ko njombe wawe wapole lazima makambako itaendelea kuwa dominate Ni mji uliopo kwenye position nzuri
 
Harafu kumbuka njombe tc imekubukwa kwa kujengwa soko na stendi kwa mradi wa bank ya dunia ya kuboresha miji 18 maana bila mradi huo mngechoka zaidi wenzenu kahama tunduma makambako wanapambana wenyewe ko ujue Ni jinsi gan mnavo pumulia mashine
 
Njombe ni yatatu kiuchumi nchi nzima,,unaongea nini wewe au hauna takwimu,,tafuta Iringa na Songea katika list yako uje na jibu
Nimetapika na kuhara.
Ina maana baada ya Dsm na Mwanza inafuata Njombe kwa kuwa na uchumi mkubwa?

Kamji kalichopewa hadhi ya mkoa 2012 hapo? Ahahahaha Mbeya, Arusha, Tanga, Dodoma, Morogoro, Kagera, Iringa, Mtwara n.k tuziweke wapi sasa?

Miundombinu na mijengo iliyopo Geita my friend ukiiona utalia sembuse Njombe ahuahuahuahua
 
Ukuaji ni wa kasi kwa miji yote ila ni ukuaji holela mipango miji wamejitenga na wananchi matokeo yake ujenzi holela unatamalaki
Hii changamoto ya kitaifa sasa ktk halmashauri na majiji mengi hawazingatii kabisaaaa upangaji mji yaan wao nadharia yao ni wana amini watu wanavyojenga pembezon mwa barabara baasi mji unakua
Lkn haupendezi mji mzima ni slums, na unplanned settlements
 
Maana hata barabara unazo sema hujui tayar njombe itaathirika tena kumbuka mtu wa ludewa makete na lupembe atakuwa halali Tena njombe atanyooka mazima dar alafu viwanda vimeaidiwa vingi makambako na sio mji wa njombe na vingine wameanza kujenga
kazi ya serikali sio kujenga viwanda hiyo ni kazi ya sekta binafsi,hao wanaosubili ahadi za ccm watasubiri hadi karibuni,Hapo Makambako hakuna kiwanda hata kimoja ila vimejaa Mafinga na Njombe
 
Your true factor ya distance lazima iathiri sehemu nyingine lazima mji mmoja ukubali kuwa tegemezi mfano nataka nichukulie mkoa wa njombe na wilaya zake kwa asilimia kubwa wanategemea mahitaji na soko la mazao makambako pia hata wilaya ya mufundi iringa na mafinga tc pia wilaya ya mlimba morogoro hapa wameweka Hadi treni linakuja kuwa let shopping Mara mbili kwa wiki makambako Kuna wilaya ya mbalali Kuna madaba songea Hadi mbinga asilimia kubwa hizo sehemu nilizo taja wanachukulia bidhaa makambako pia kuna nchi jiran zinazo kuja kununua mazao Zambia Congo Zimbabwe Kenya msumbiji na Malawi nimejaribu kutoa taswira jinsi gani huyo anayedanganya watu et njombe Ina pontentially njombe itabakia kuwa wazalishaji ila soko Ni makambako ndo maana RCC mkoa wa njombe imeamua kuwa makambako iwe kitovu Cha biashara na sio njombe tc mfano nfra maghara ypo makambako makambuni makubwa yamewekeza makambako Kama export trading kampuni ya mo kampuni ya kibo kampuni ya mabati dragon msd kiwanda Cha dawa tpdc tank za mafuta Simba cement tembo cement nk ko njombe wawe wapole lazima makambako itaendelea kuwa dominate Ni mji uliopo kwenye position nzuri
Hadithi nyingi sana mkuu,ni kawaida kwenda gulioni kuuza na kununua afu pesa zinaenda kuwekezwa kwingine,hicho ndio kinaikumba Makambako na miji mingine ya kichuuzi dizaini hiyo.Kama hizo mambo unazozitaja hapo juu ni dili basi tungewaona kwenye kuongoza kimapato sasa mko mbali saaaana hadi Nanyumbu inawashinda,swali kama mna pesa na ni kitovu sijui cha biashara and the likes why hatuoni hiyo nguvu yenu when it comes to mapato?
Naona wachuuzi mumeungana kuishambulia Njombe lakini bado mnatapatapa tu hapa
 
Harafu kumbuka njombe tc imekubukwa kwa kujengwa soko na stendi kwa mradi wa bank ya dunia ya kuboresha miji 18 maana bila mradi huo mngechoka zaidi wenzenu kahama tunduma makambako wanapambana wenyewe ko ujue Ni jinsi gan mnavo pumulia mashine
Njombe TC has been there since time ago kabla ya hizo blaa blaa za ULGSP,kumbuka kule kuna green gold,misitu na mazao ya misitu plus kilimo in general ndio driving force ya uchumi na hata viwanda vingi viko kwenye sekta hizo.Na kwa taarifa yako mkuu kuna mradi mwingine unakuja wa TACTIC plus barabara zote kuu za kutoka/kuingia Njombe zinajengwa ko itabadili sura nzima ya Njombe,nyie huko kwingine mtaendelea kupauka na uchuuzi wenu.
 
Njombe Ni sawa na kusema Jamhuri ya Afrika ya Kati itakuja kuwa potential country... 🙂

Nyumba sebuleni huko Chumbani hata ukilalia Kitanda cha Gold haina Mashiko... Wageni wengi wanakuja/watafikia sebuleni.

Back
Top Bottom