Wewe labda unahangaishwa na mahaba ya kijinga ya huko kwenu,kwamba Paris kuna maskini wengi kuliko Dar huu ni utoto weka ushahidi hapa.
Pili ratio ya maskini na wenye nafuu ndio inaifanya Njombe kuwa bora kuliko Kahama kwenye kila nyanja ya social services na economic development hilo linajidhihirisha kwa ubora wa makazi ikiwemo magorofa,narudia magorofa
Tatu Kuhusu mapato Khm sio tajiri kushinda Geita au Miji mingine yenye mapato kushinda Kahama tofauti ni ubunifu wa DED na madiwani kuelekeza mapato kwenye miradi ambayo itazalisha zaidi mapato au kutoa huduma kwa umma ,hicho ndio kimemkuna Rais na si kwamba eti Kahama inajitegemea kwa mapato hilo halipo imefanya tu kama Dom wanaojenga mahoteli sijui parking nk kwa mapato ya ndani.
Hata hivyo mapato ya Njombe kuwa sasa ni around 4.5 bln ikiwa juu ya Manispaa nyingi tuu na ni Kati ya miji mi 5 yenye mapato makubwa kwa Tzn na hili limeifanya Njombe kufanya miradi kama ya kujitegemea kwa mfano kujenga vituo vya afya na shule kulingana na kipaombele,ref.ziara ya Jafo mwanzo wa January hii alivyomwaga masifa kwa Njombe.
Mara nyingi huwa nasema growth rate ya shughuli za kiuchumi kwa Kahama na Njombe ni tofauti Kahama iko kwenye maturity stage wakati huku Njombe ndio kwanza fursa zinafunguliwa ,ukiangalia mapato ya Kahama kwa miaka mingi yako around 4-6 bln wakati kwa Njombe ni from 2 bln to 4bln over the last 5 years ko Unapata picha kwamba ndani ya miaka hii mitano tutamatch au kuvuka hiyo ya Kahama just tu kama Geita ilivyowapita.
Watch out miji hii hapa,Njombe,Mafinga,Tunduma,Chalinze,Mbinga na Ifakara inakuja kwa Kasi huku Njombe tukiwa front ya hao wote niliowataja so is just a matter of time