Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kama mzizi upi kwa mfano...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mwenyew nilishafika kule, yaan nasoma humu nabaki kushangaa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunduma Bado Sana kwa idadi ya watu ila inaweza lingana na Kahama maana miji yote ni ya kichuuzi na iko shaghalabaghala no ustaarabu kabisaHizi takwim zinahaitaji uthibitisho. Pamoja na ukweli kuwa Kahama iko vizuri, kwa Takwim za watu hao basi ilicheleweshwa kuwa Manispaa. Hii inaweza kuwa sawa na Tunduma, ambako popolation ni kubwa sana hasa mchana
Njombe,Kasulu,Ifakara,Mbinga,Tunduma,Mafinga nk yote hiyo ni zaidi au sawa na KahamaUkiondoa wilaya zote zilizopo kwenye majiji ya Dar na Mwanza..wilaya za pembeni zote hakuna iliyo mfano wa Kahama nchi nzima.
Hivyo ulivyotaja ni baadhi tu ya mambo mengi yanayoizidi BK mengine ni kama yafuatayo,Iringa kwa kitu gani Bro, ambacho Iringa inaizidi Bukoba ni Makumbusho ya Mkwawa na Uwepo wa vyuo Vikuu basii....ebu tupe Ratiba z Ndege hapo Iringa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo sio sababu yenye mashiko kwamba sijui haifai kuwekwa Mji mkubwa unless ufafanue unachotaka kusema hapoTunduma munaiweza?
Ni kwa vile tu mambo ya Kiusalama haiswihi kuweka mji mubwa Tunduma,lakini jmaaa wako juu sana, kwenye hilo tutabishana hadi mwisho.
Ukiangalia tuu hizo picha unaona Kahama imechoka kweli kweliStand ya Mabasi madogo na kituo cha kushusha mizigo ya malori - Kahama View attachment 1689745
Stand Kuu ya Kahama, ambayo inahamishiwa nje ya mji, kutoka katikati mwa mji
View attachment 1689747
Mchoro wa stand mpya Kahama itakavyokuwa
View attachment 1689749View attachment 1689750
Parking ya Malori Kahama
View attachment 1689752
Stand ya Mabasi Tunduma
View attachment 1689753
Stand ya mabasi Njombe
View attachment 1689754
Mkuu wingi wa miradi sio utekelezaji wake afu nyingi ya hizo barabara za Khm ni regional roads wakati kwa Njombe barabara zote Kati ya ulizozitaja ni Trunk road kwa maana hiyo hata ujenzi wake utamalizika upande wa Njombe kuliko huko na akitoka Magu ndio msahau kabisa kwa sababu ya factor niliyokwambia.Hujui kitu, tofauti ya Kahama na Njombe kwenye barabara kuu ni hii, na bado Ilani ya Chama tawala miradi ya kuinganisha Kahama na Wilaya nyingine ni mingi kuliko hata Njombe yenyewe. Tunaanza na taarifa za google kuhusu mtandao wa barabara kuu zenye lami na uhakika wa lami kati ya Njombe na Kahama.
KAHAMA
View attachment 1689798
NJOMBE
View attachment 1689799
Miradi ya barabara kuu Kahama ni mingi kwa miaka hii mitano kuliko hata Njombe
KAHAMA (KM 1003.31)
Geita – Bukoli – Kahama (km 107);
Tabora – Mambali – Bukene – Itobo – Kahama (km 149);
Mwanangwa – Misasi – Salawe – Kahama (km 149);
Mpanda - Ugala - Kaliua - Ulyankulu - Kahama (km 428);
Kahama – Nyamilangano – Uyogo (km 54);
Mambali – Bukumbi - Ishilimulwa – Shitage– Kahama (105km)
Kagongwa – Bukooba (Kahama) - (km 11.31)
NJOMBE (KM 479.5)
Njombe – Ndulamo – Makete;
Sehemu ya Njombe – Moronga (km 22.9);
Sehemu ya Moronga – Makete (km 37.65);
Njombe (Kibena) – Lupembe – Madeke (Mfuji) – Morogoro/Njombe Border (km 125);
Njombe (Ramadhani) – Iyayi (km 74);
Ifakara – Mlimba – Njombe (km 220)
Hizo show zinaendana na ushamba na wingi wa washabiki ,,huku Njombe watu wamestaarabika huwezi wakuta kwenye ushamba huoUKITAKA KUJUA KAHAMA BABA LAO ANGALIA HATA SHOW MONDI HUJA KAHAMA MARA NYINGI ZIDI YA HUKO CHAKA
Siwezi.Mkuu hiyo sio sababu yenye mashiko kwamba sijui haifai kuwekwa Mji mkubwa unless ufafanue unachotaka kusema hapo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi.
Wewe wa songea kahama ulifika lini mbona muongo muongo Sana wewe!!Mwenyew nilishafika kule, yaan nasoma humu nabaki kushangaa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe wa songea kahama ulifika lini mbona muongo muongo Sana wewe!!
Ungefika kote kwanza ndio ungepata ulinganisho ulio fair but hiyo Kahama bila shaka imeendelea kushinda huko lalago ,Hungumalwa au mwigumbi ulipotoka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hivi njombe sikuhizi si Mkoa lakini!?? Sasa tunalinganisha vipi Mkoa na Wilaya!??
Au Mimi mwenzenu haya Mambo siyaelewi elewi vizuri kwakuwa GS nlpiga FAFAFA!!
Sujawahi fika Njombe Wala sijui huko makambako!! But First time naingia KAHAMA pale mwanzoni tu naona kile kiwanja Cha ndege karibu na mgodi then yakafata minengo haswaa ya raia kusema kweli Nilihisi naingia Mkoani na sio Wilayani kabisa!!
Kila mji una Fursa zake na ndio zinazofanya paonekane Bora kwa kundi flan la watu wanaoishi Hapo Kama kahama madini, mpunga shughuli za uchuuzi ndio zinaibeba usilazimishe nawao wapasue sijui mbao Mara wasafirishe parachichi na vitu Kama hivyo!!
Japo sapajui njombe Wala huko sijui Tunduma na asili ya mtu ni kuvutia upande wake mimi hata unieleze Nini KAHAMA naona ndio the best na Sizani Hapa TANZANIA kuna Wilaya iliyombali kidogo na makao makuu ya Mkoa iliyojengeka na yenye hadhi ya kimkoa Kama KAHAMA sizani
Nadhan unapafahamu Katoro, panapishana kidogo sana na Geita mjini na hata KahamaHivi njombe sikuhizi si Mkoa lakini!?? Sasa tunalinganisha vipi Mkoa na Wilaya!??
Au Mimi mwenzenu haya Mambo siyaelewi elewi vizuri kwakuwa GS nlpiga FAFAFA!!
Sujawahi fika Njombe Wala sijui huko makambako!! But First time naingia KAHAMA pale mwanzoni tu naona kile kiwanja Cha ndege karibu na mgodi then yakafata minengo haswaa ya raia kusema kweli Nilihisi naingia Mkoani na sio Wilayani kabisa!!
Kila mji una Fursa zake na ndio zinazofanya paonekane Bora kwa kundi flan la watu wanaoishi Hapo Kama kahama madini, mpunga shughuli za uchuuzi ndio zinaibeba usilazimishe nawao wapasue sijui mbao Mara wasafirishe parachichi na vitu Kama hivyo!!
Japo sapajui njombe Wala huko sijui Tunduma na asili ya mtu ni kuvutia upande wake mimi hata unieleze Nini KAHAMA naona ndio the best na Sizani Hapa TANZANIA kuna Wilaya iliyombali kidogo na makao makuu ya Mkoa iliyojengeka na yenye hadhi ya kimkoa Kama KAHAMA sizani
Kahama kwamujibu wa taarifa za mpango kabambe (Master plan) iliyoandaliwa kahama imekuwa along Rwanda-Isaka Highway kwa km 13 kupelekea Isaka na kilomita 10 kuelekea Rwanda. Pia imekuwa kwa upande wa kuelekea tabora kwa kilomita 5 na kuelekea Mwanza(Mhongolo) kwa kilomita 8Kinachotokea hazijatolewa makusanyo ya kila mji ili kujua ukweli. Na makusanyo hayo yawe ya Domestic(isiwe zile za Makampuni ya Wazungu ya madini), naweza nikasema Njombe na Kahama, bado Njombe ni bora sana, sekta ya madini imeibeba Kahama. Kwa ufupi Kahama kiukubwa haipishani sana na Mafinga au Tunduma(miji iliyokua kwa sababu ya ukubwa wa biashara)
Mnapima story tu humu... Hatujui Kahama nyie ndio wale wa stendi guest mnaondokoa... Kahama HUIJUI ...Nadhan unapafahamu Katoro, panapishana kidogo sana na Geita mjini na hata Kahama