Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyanda za juu kusin wamejipambanua kutokana na jiografia inayoizunguka miji mingi imejipambanua future yake kuwa wanataka miji yao ijikite na Nini sio mji unaenda tu haieleweki mnataka ujikite na Nini angalau miji mitatu Kanda ya ziwa imejipambanua Kuna kahama biashara na viwanda,Geita madini, na mwanza ila bukoba hamsomeki
1704118891482.jpg
1704118606650.jpg
1704118512437.jpg
 
China imechukua sampuli za parachichi za mashamba ya Tanzania kwa ajili ya ukaguzi wa kukidhi viwango. Ni mafanikio makubwa kwa wakulima wa parachichi nchini kulifikia soko kubwa la China. Tunatumaini kuwa uuzaji nje parachichi utaongeza pato la wakulima wa Tanzania na kuongeza uwekezaji katika kilimo.

China has picked samples of Tanzania's avocado plantations for compliance auditing. It's a big breakthrough for local grown butter fruits to access China's lucrative market. We hope the avocado export would boost Tanzanian farmers' income and increase investments in the agriculture sector.
1704259967641.jpg
 
Waache na takwimu zao za kupika za serikali..nani hajui Tz hii hatuko serious na takwimu...

Kwa ground ni different
Huko Bukoba watu wanajenga majumba Kila kukicha
Wao wanadai Wana hela lakin hatuoni expenditure zao

Nani kakwambia mji hawajengi maghorofa? Wew unafikiri maghorofa 700 yanatoka wap Bukoba?

Mambo ya kawaida hayo na Wala sio vitu vya kupost...tunataka vijijini
Naona huko Bukoba mmeamka sasa! Safii sana!
 
Waache na takwimu zao za kupika za serikali..nani hajui Tz hii hatuko serious na takwimu...

Kwa ground ni different
Huko Bukoba watu wanajenga majumba Kila kukicha
Wao wanadai Wana hela lakin hatuoni expenditure zao

Nani kakwambia mji hawajengi maghorofa? Wew unafikiri maghorofa 700 yanatoka wap Bukoba?

Mambo ya kawaida hayo na Wala sio vitu vya kupost...tunataka vijijini
Pale mtu anajifariji baada ya takwimu kuongea Kila ambacho hakipwndi 🤣🤣

Kuna sehemu Nchi hii watu hawajengi majumba? Si ni nyie hapo tuliweka magorofa yanayoporomoshwa Miji ya Nyanda za Juu Kusini mkaanza kulia Lia eti tunajenga magorofa marefu ya kazi gani? 😁😁

Bukoba fishing Village Iko nyuma sana,ongezeni Juhudi labda mtaikaribia Sumbawanga 😂😂
 
Wacha maneno kijana leta nyumba za kijijini kwenu ama mnaogopa kurogwa mkijenga kijijini kwenu 🤣🤣!! Bk town huwezi linganisha na Kijiji cha wakulima sumbawanga 😆😆
 
Barabara iliyopita mikoa ya nyanda za juu kisini 👇👇👇👇👇👇👇👇👇The longest road in the world to walk, is from Cape Town (South Africa) to Magadan (Russia). No need for planes or boats, there are bridges. It's a 22,387 kilometers (13911 miles) and it takes 4,492 hours to travel. It would be 187 days walking nonstop, or 561 days walking 8 hours a day. Along the route, you pass through 17 countries, six time zones and all seasons of the year.
1704520599707.jpg
 
Miji inakaa hiv...A town should have proper city centre and downtown...sio unafika mji flani hujui hata mjini ni wap...
Na hapa hawajetengeza Barabara za mjini kati ambazo nazo zinatengenezwa mwakani..
Kwa Tanzania miji ya zamani ndo Iko hiv na ina mionekano ya Mji kwa sabahu ilipangwa..
Hapo mjini Kuna mfumo wa majitaka,majisafi na mji unatakiwa kuwa na public park..ambayo Bukoba inazo mbili sasa
Bukoba downtown...
Acha wivu na Mbeya hata kama huipendi ila mjini Kwa Sasa ni Mwanjelwa Wala hakuna ubishi Kwa Hilo.

Ila tuu inatakiwa waongeze Kasi ya ujenzi wa magorofa,Kwa hadhi ya Jiji kuwa na projects 6 tuu Kwa mwaka tena kuanzia Mbalizi-Uyole haitoshi.
IMG_20240105_115709_368.jpg
IMG_20240105_115934_465.jpg
IMG_20240105_115932_721.jpg

Kwenye viwanda Mbeya inafanya vizuri sana nimeona viwanda vipya vya Mabati na rangi mfano Kiboko,Taishan na Drago
Screenshot_20240106-205818.jpg
 
Back
Top Bottom