Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha wivu na Mbeya hata kama huipendi ila mjini Kwa Sasa ni Mwanjelwa Wala hakuna ubishi Kwa Hilo.

Ila tuu inatakiwa waongeze Kasi ya ujenzi wa magorofa,Kwa hadhi ya Jiji kuwa na projects 6 tuu Kwa mwaka tena kuanzia Mbalizi-Uyole haitoshi.
View attachment 2864186View attachment 2864187View attachment 2864188

Kwenye viwanda Mbeya inafanya vizuri sana nimeona viwanda vipya vya Mabati na rangi mfano Kiboko,Taishan na Drago View attachment 2864184

View: https://youtu.be/oHEmYUTnpIc?si=JttoNC-kLHwaP2H9
 
Nyumba ni choo watu hawajengi choo wanakunya porini madhara yake ndo haya
1704644297924.jpg
IMG-20231120-WA0004.jpg
 
Acha wivu na Mbeya hata kama huipendi ila mjini Kwa Sasa ni Mwanjelwa Wala hakuna ubishi Kwa Hilo.

Ila tuu inatakiwa waongeze Kasi ya ujenzi wa magorofa,Kwa hadhi ya Jiji kuwa na projects 6 tuu Kwa mwaka tena kuanzia Mbalizi-Uyole haitoshi.
View attachment 2864186View attachment 2864187View attachment 2864188

Kwenye viwanda Mbeya inafanya vizuri sana nimeona viwanda vipya vya Mabati na rangi mfano Kiboko,Taishan na Drago View attachment 2864184
Nyinyi ndo mnajisifia mabasi πŸ˜‚πŸ˜‚

Imagine huyu ni muhaya mmoja na mabus yake ya shule...

View: https://twitter.com/djnsajigwa/status/1744221585429475534?s=19
 
Siku zote unatafutaga njia ya kkukimbi🀣🀣🀣!!! Umeona kwenye mabasi hapo umepigwa kitu kizito ukakwepa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†!! Kusini nzima hakuna wa kusogeza pua kwa kaizirege
Mabasi tena ,Mbeya ndio home
20231222_143957.jpg
20231216_080941.jpg
20231204_114216.jpg
20231118_211444.jpg
20231122_153653.jpg
20231115_104947.jpg
20231110_072612.jpg
20231106_190322.jpg
20231106_190317.jpg
20231106_190319.jpg
 
Back
Top Bottom