Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Kwa Mujibu wa maelezo hapa Chini inaonesha Kahama MC ilianza rasmi 2011 japo tangazo la serikali linasema ilianza 2010..

Tunduma Kwa mujibu wa Tangazo rasmi la gazeti la serikali linaitambua kwamba ilianza rasmi 2015 japo kiulisia ilianza 2012 maana mwaka 2013 na 2014 nilifanya Kazi ya Mkataba Mkurugenzi alikuwepo..

So zipo kwenye Umri mmja.πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221104-172453.png
    71 KB · Views: 18
  • Screenshot_20221104-172322.png
    59.6 KB · Views: 16
Hilo tangazo ni la hslmashauri ya mji ila vibao vilibadirishwa 2012 tukaanza kulipwa semina hela hadhi ya halmashauri ya mji all in all basi tuseme zimeanza pamoja na tunduma japokuwa kahama alipewa manispaa yeye na ilemela 2014 lakini figisu zikafanyika shinya hawakufuata hati notice ya siku 45 zikapita wakanyang'anywa 2017 wakaanza kuomba tena wakaambiwa wamwkidhi vigezo ila hakutangazwa baadae magufuli akawatangaza 2021 na akasema shinyanga hawana raha ila ndo ishakuwa kikwazo ilikuwa shinyanga
 
Kwa hiyo mkuu unataka kubishana na documents si ndio?

Kahama ilipewa hadhi ya Manispaa na Mwendazake hata kama mnasema ilinyang'anywa siku figisu na blaa blaa kibao..

Sasa mwaka huu mnapitwa mapato na Tunduma sijui mtajifichia wapi 😁😁..
 
Mipango sio matumizi kahama tunazidi manispaa za iringa moshi shinyanga bukoba musoma songea sumbawanga tabora kigoma ujiji kwa mapato je kahama inazidi manispaa hizo kwa naendeleo jibu hakuna ukiwa manispaa unaletewa vitu vya maendeleo hata kama hujachangia pia ujue kitu hiki kahama ni mkoa wa kikodi je tunduma ni mkoa wa kikodi jibu hamuna hivyo kahama ni level ya mkoa
 
Unazingua ndugu sasa, Kahama inazidi hizo Manispaa kwa watu wengi na mapato sio maendeleo..

Manispaa ya juzi haiwezi zidi Manispaa Kongwe,hata Mpanda imewashinda,huwezi shindana na Mji ambao ni Makao Makuu ya Mkoa kwa maendeleo Mzee baba..
 
Unazingua ndugu sasa, Kahama inazidi hizo Manispaa kwa watu wengi na mapato sio maendeleo..

Manispaa ya juzi haiwezi zidi Manispaa Kongwe,hata Mpanda imewashinda,huwezi shindana na Mji ambao ni Makao Makuu ya Mkoa kwa maendeleo Mzee baba..
Nimekwambia wale tunawazidi kwa wingi wa mapato ila sio maendeleo sasa nimeyumba wapi? Hoja yangu nikwamba hata mkikusanya pesa nyingi hamuwezi kutuzidi maendeleo maana tayari tushakuwa manispaa mfano sasa hivi kuna mradi wa bank ya dunia wa lami kilomita 26 barabara za mitaa na ujenzi wa masoko mawili ya kisasa na stand mbili za gorofa sasa miradi hio ni ya serikali sio mapato ya ndani chamsingi piganiani mji wenu upande hadhi uwe manispaa lasivyo hilo vumbi unalosema la kahama baada ya mwaka mmoja tukutane humu hutaliona tena
 
Hata Tunduma mradi wa TACTIC upo km 15,utafanyika awamu ya 3..

Hata hivyo tutatumia wingi wa makusanyo yetu ku compliment pesa ya Ruzuku tunayokosa kutoka Serikali Kuu hivyo tutafika mbali Sana..

Tuna faida ya Mji wetu kuwa mpakani so unakua kwa speed Sana..I can't wait kuona Mapato mwaka 2022/23 tukishindana na Majiji na Manispaa za Dar tuu?

Robo ya kwanza Bil.3.7 yaani more than 1B kila Mwezi sio mchezo πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-190201.png
    107.5 KB · Views: 18
Kahama wamepoteana πŸ˜†πŸ˜†

Pamoja na Makusanyo ya bil.13.7 naona Tunduma wame underestimate ilhali wanaweza Kukusanya Bil.15 Kwa mwaka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…