Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Huu uzi mmuharibu, mapicha picha kibao yanin? Kwani vigezo vipi vinatumika kupima ukuaji wa mji, vitu km mzunguko wa pesa ambapo tunaweza kutumia ripot ya ukusanyaji mapato ndani na ripot ya TRA, mall kubwa kubwa, ongezeko la watu, kuimarika kwa huduma za afya na Elimu, miundombinu, upatikanaji wa maji na umeme wa uhakika.. n.k.
 
Hvyo vi hotel vyako kwa kahama ni vihotel vya uchocholoni.kahama ni munispal .tundumu ni halimashauli ya mji.mzunguko wa pesa kahama huwezi linganisha na tunduma.tunduma Kuna vibajaji vingi,pikipiki za kuhesabu tax hazizidi 20 mji mzina.kahama Kuna baiskel,bajaji za kutosha ,pikipiki za kutosha mabasi ya kutosha kwenda mikoa zaidi ya 14.kahama Ina Magali ya abilia kama hiace ya kwenda sehem nyingi tofauti kama ushilombo,kagongwa,shy,tinde,isaka,lunzewe kwa njia nyingi tofauti tofauti.ila tunduma inanjia 4 tu.ya kwenda Malawi,ambayo Gali zake ni chache sana.kwenda boda hakuna hiace kabisa,kwenda njia ya mbeya ndio Kuna coster na hiace za kwenda mlowo.mpaka mbeya.njia ya sumbawanga napo Kuna hiace japo ni chache sana.ila kwa kahama Kuna njia zote isaka mpaka shy Gali kibao.njia ya masumbwe Gali kibao njia ya short cut ya kutokezea tabora zipo kibao njia ya kwenda kakola zipo kibao njia ya kutokezea msalala Gali zipo kibao.mzunguko wa pesa kahama upo zaidi kwa kuwa kahama ndio sehem kuu ya kununua bidhaa kwa miji yote iliyoizunguka iliyo na migodi na isiyo na migodi tofauti na tunduma.tunduma vitu vinabei ya juu.ukivuka border unaenda kununua kuanzia nguo,vitenge mafuta,viatu,petrol vyote vipo chini kuliko tunduma.tunduma malori na mpaka ndio vinavyouchangamsha mji.kuanzia kule kwa mpemba zile yard za Magali na gest ndio zinazoupatia mji wa tunduma mapato.ila kahama Kuna kilimo Cha mpunga,migodi,na biashara
hakika haya maeneo unayajua mana umeelezea vzur sana
 
Sijawai kufika kahama ila kwasasa ninaishi tunduma.Tunduma ina jina kubwa kuliko uhakisia imagine mpaka saizi maji kwa sehemu kubwa ni visima sio bomba,swala la barabara ndio hakuna kabisaaa kwasababu iliyopo ni moja tu kuu ya kwenda sumbawanga na kuingia zambia hii ya mpemba ni kwaajili ya malawi na haina impact yeyote kibiashara,barabara za lami mitaani hakuna kabisa,swala la mwingiliano ni dogo yani sehemu kubwa ya watu ni ukanda huuhuu,hivi vituo vya mafuta havimaanish mzunguko bali n parking nyng za magari,na baadh ya parking ukiwaungisha mafuta gari inalala bure,swala la elimu bado sana hakuna hata kachuo kaveta kamoja hapa tunduma nzima,shughuli kubwa za watu ni biashara,kilimo na magendo,hapa kwenye magendo kuna pombe za zambia,vipodozi,vitenge na kusafirisha wasomali na watu wasio na document,mzunguko wa biashara tunduma sitauzungumzia cos sifany biashara za kununua na kuuza so siwezi compare bila experience,yangu ni hayo,nipo mpemba hapa newbell karibuni
Naomba namba yako na picha NPO rombo apa
 
Kahama ina majengo yapi kushinda hiyo Mikoa umeitaja ukitoa Lindi na Sumbawanga?

Hatufanyi mjadala wa dini hapa kwamba tutaamini maneno bila ushahidi..

Ukipata madarasa ya maghorofa kwa Kahama nzima shule za Serikali nafunga account JF..

Tunduma 👇
Mmh we jamaa nae kwa madarasa ya Tunduma haujambo,
Watu wanakuletea private investments wee umekazana na madarasa 🥴 he!!
 
Mmh we jamaa nae kwa madarasa ya Tunduma haujambo,
Watu wanakuletea private investments wee umekazana na madarasa 🥴 he!!
Kwa hiyo Tunduma hakuna private investments au siyo? 😁
😁

Kama kuna madarasa ya maghorofa shule za Serikali ndio private investments isiwepo?
 
Tunduma last time nimefika desemba 2021, kahama nimefika mara moja ilikuwa 2017, nywele zilinisimama sukuamini kama pale ni wilayani, hot ile mbaya mji unanuka hela ule, nadhani sababu ya kuzungukwa na migodi, 💵💵💵 💰💰 kwa sana, hauhitaji kuumiza kichwa sana, hela iko nje nje, and project za ujenzi zilizokuwa zinaendelea unajua hapa si mchezo, tunduma ni ya wapita njia, inajengeka lakini isilinganishwe na kahama, pale wenyeji kina Kishimba mzee wa supermakets nchi nzima tusiwaharibie hadhi.
 
Tunduma inakua Kwa haraka Sana na NI sehemu ambayo inawafanyabiashara wengi Sana haswa Kwa nafaka na mahitaji muhimu kutoka sehem za jirani Kwa WANANCHI WA upande kuelekea sumbawanga na nchi jirani ya Zambia pia ni lango la kuelekea Congo kwaio uchumi wake unategemea Sana wasafiri wanaopita pale kila siku NI mji uliojaa watu wafanyabiashara kweli kweli na pamechangamka Sana lakn no sehem ambayo sio tambarare nadhani kutokana na miinuko miinuko that why mihundombinu ya Barabara za mitaani nying ni vumbi na ni halmashauri sio wilaya

Lakin kahama NI mji WA madini tofauti na tunduma mji WA wasafiri na wafanyabiashara WA nafaka

Kahama IPO tambarare , kahama inamiundombinu ya Barabara za mitaani kutokana na utambarare wake ni point ya biashara Kwa ukanda ule Ile ni wilaya sio halmashauri kama tunduma

Note ; tunduma ni kubwa iko spidi Sana kukua kiuchumi lkn kahama NI kubwa pia Kuna madini na Barabara za mtaani.

Siku niliyoenda tunduma nilishangaa kukuta magari mengi Sana halafu Mitaa mingi imechangamka Mitaa mingi kuna vibe . Kahama ikifika Saa 5 panachangamka tu pale stand Tu ya mabasi ya mkoani maana kuna abiria wanalala kuendelea na safr asubui kuelekea kigoma.


Tunduma imechangamka Sana pesa Tu zinaongea pale fikiria kama kungekua na mgodi pale ingekuaje.
 
Huu uzi mmuharibu, mapicha picha kibao yanin? Kwani vigezo vipi vinatumika kupima ukuaji wa mji, vitu km mzunguko wa pesa ambapo tunaweza kutumia ripot ya ukusanyaji mapato ndani na ripot ya TRA, mall kubwa kubwa, ongezeko la watu, kuimarika kwa huduma za afya na Elimu, miundombinu, upatikanaji wa maji na umeme wa uhakika.. n.k.
Hatufanyi mjadala wa dini kwamba tutaamini bila picha,weka picha tuone uhalisia.
 
Tunduma-Dodoma..

Abood Bus,
Shabiby Line,
Trinity Express 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220924-100627.png
    Screenshot_20220924-100627.png
    151.1 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220924-161759.png
    Screenshot_20220924-161759.png
    338.6 KB · Views: 17
View matata Sana ya Tunduma👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221001-230801.png
    Screenshot_20221001-230801.png
    149 KB · Views: 19
Tunduma -Dar

Ilasi,
Abood,
Kilimanjaro,
New force,
Sauli,
Superfeo
👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220924-084716.png
    Screenshot_20220924-084716.png
    119.2 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220924-090159.png
    Screenshot_20220924-090159.png
    57.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220924-100428.png
    Screenshot_20220924-100428.png
    183.6 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220925-093733.png
    Screenshot_20220925-093733.png
    146 KB · Views: 12
  • 20221001_074604.jpg
    20221001_074604.jpg
    79.8 KB · Views: 14
  • 20220925_093427.jpg
    20220925_093427.jpg
    88.9 KB · Views: 16
Huduma za Afya Mjini Tunduma..

Hospital 1 ya ngazi ya Wilaya naViguo vya Afya 6.

-Tunduma HC,
-Mpande HC,
-Chapwa HC,
-Mwaka HC,
-Chiwezi,
-Chipaka.

👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221009-093337.png
    Screenshot_20221009-093337.png
    121.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221009-093416.png
    Screenshot_20221009-093416.png
    46.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220812-105332.png
    Screenshot_20220812-105332.png
    241.1 KB · Views: 15
Tunduma inazidi kupaa kimaendeleo..

Vitendo vinaongea zaidi kuliko mdomo 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221009-094301.png
    Screenshot_20221009-094301.png
    116.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221009-094357.png
    Screenshot_20221009-094357.png
    52.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20221009-094433.png
    Screenshot_20221009-094433.png
    128.9 KB · Views: 12
Changamoto Katika ya mafanikio..

Msururu wa maelfu ya magari ya mizigo Tunduma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221013-130923.png
    Screenshot_20221013-130923.png
    111.5 KB · Views: 16
Tunduma inazidi kupeleka moto Kwa Manispaa ya Mchongo ya Kahama 👇
 

Attachments

  • IMG_20221015_062825_729.jpg
    IMG_20221015_062825_729.jpg
    1.1 MB · Views: 16
  • IMG_20221015_062826_706.jpg
    IMG_20221015_062826_706.jpg
    1.2 MB · Views: 12
  • IMG_20221015_070029_378.jpg
    IMG_20221015_070029_378.jpg
    954.5 KB · Views: 12
  • IMG_20221015_070155_048.jpg
    IMG_20221015_070155_048.jpg
    1.5 MB · Views: 14
  • IMG_20221015_071403_114.jpg
    IMG_20221015_071403_114.jpg
    1.4 MB · Views: 12
  • IMG_20221015_071431_038.jpg
    IMG_20221015_071431_038.jpg
    1.3 MB · Views: 13
  • IMG_20221015_082130_351.jpg
    IMG_20221015_082130_351.jpg
    1.2 MB · Views: 13
  • IMG_20221015_082500_143.jpg
    IMG_20221015_082500_143.jpg
    1.1 MB · Views: 12
  • IMG_20221015_081730_244.jpg
    IMG_20221015_081730_244.jpg
    1,007.7 KB · Views: 12
  • IMG_20221015_080804_070.jpg
    IMG_20221015_080804_070.jpg
    1.6 MB · Views: 13
Back
Top Bottom