luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Sijawahi fika huko ila kwa Tz issue ya mipango miji ni ZERO kwa halmashaurj na majiji yote except Tng,Ilikuwa zamani kabla ya Halmashauri,kwa sasa Mji unapangwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi fika huko ila kwa Tz issue ya mipango miji ni ZERO kwa halmashaurj na majiji yote except Tng,Ilikuwa zamani kabla ya Halmashauri,kwa sasa Mji unapangwa..
hakika haya maeneo unayajua mana umeelezea vzur sanaHvyo vi hotel vyako kwa kahama ni vihotel vya uchocholoni.kahama ni munispal .tundumu ni halimashauli ya mji.mzunguko wa pesa kahama huwezi linganisha na tunduma.tunduma Kuna vibajaji vingi,pikipiki za kuhesabu tax hazizidi 20 mji mzina.kahama Kuna baiskel,bajaji za kutosha ,pikipiki za kutosha mabasi ya kutosha kwenda mikoa zaidi ya 14.kahama Ina Magali ya abilia kama hiace ya kwenda sehem nyingi tofauti kama ushilombo,kagongwa,shy,tinde,isaka,lunzewe kwa njia nyingi tofauti tofauti.ila tunduma inanjia 4 tu.ya kwenda Malawi,ambayo Gali zake ni chache sana.kwenda boda hakuna hiace kabisa,kwenda njia ya mbeya ndio Kuna coster na hiace za kwenda mlowo.mpaka mbeya.njia ya sumbawanga napo Kuna hiace japo ni chache sana.ila kwa kahama Kuna njia zote isaka mpaka shy Gali kibao.njia ya masumbwe Gali kibao njia ya short cut ya kutokezea tabora zipo kibao njia ya kwenda kakola zipo kibao njia ya kutokezea msalala Gali zipo kibao.mzunguko wa pesa kahama upo zaidi kwa kuwa kahama ndio sehem kuu ya kununua bidhaa kwa miji yote iliyoizunguka iliyo na migodi na isiyo na migodi tofauti na tunduma.tunduma vitu vinabei ya juu.ukivuka border unaenda kununua kuanzia nguo,vitenge mafuta,viatu,petrol vyote vipo chini kuliko tunduma.tunduma malori na mpaka ndio vinavyouchangamsha mji.kuanzia kule kwa mpemba zile yard za Magali na gest ndio zinazoupatia mji wa tunduma mapato.ila kahama Kuna kilimo Cha mpunga,migodi,na biashara
Aisee. Take it easy ndugu.haya upanuzi wa barabara Kahama hakuna, basi furahi sasa... Songwe barabara inapanuliwa... Kakwangue barabara ya lami Kahama ibaki vumbi, ufurahi sasa... ua watu waliongezeka Kahama, Tunduma iwazidi ufurahi...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Naomba namba yako na picha NPO rombo apaSijawai kufika kahama ila kwasasa ninaishi tunduma.Tunduma ina jina kubwa kuliko uhakisia imagine mpaka saizi maji kwa sehemu kubwa ni visima sio bomba,swala la barabara ndio hakuna kabisaaa kwasababu iliyopo ni moja tu kuu ya kwenda sumbawanga na kuingia zambia hii ya mpemba ni kwaajili ya malawi na haina impact yeyote kibiashara,barabara za lami mitaani hakuna kabisa,swala la mwingiliano ni dogo yani sehemu kubwa ya watu ni ukanda huuhuu,hivi vituo vya mafuta havimaanish mzunguko bali n parking nyng za magari,na baadh ya parking ukiwaungisha mafuta gari inalala bure,swala la elimu bado sana hakuna hata kachuo kaveta kamoja hapa tunduma nzima,shughuli kubwa za watu ni biashara,kilimo na magendo,hapa kwenye magendo kuna pombe za zambia,vipodozi,vitenge na kusafirisha wasomali na watu wasio na document,mzunguko wa biashara tunduma sitauzungumzia cos sifany biashara za kununua na kuuza so siwezi compare bila experience,yangu ni hayo,nipo mpemba hapa newbell karibuni
Mmh we jamaa nae kwa madarasa ya Tunduma haujambo,Kahama ina majengo yapi kushinda hiyo Mikoa umeitaja ukitoa Lindi na Sumbawanga?
Hatufanyi mjadala wa dini hapa kwamba tutaamini maneno bila ushahidi..
Ukipata madarasa ya maghorofa kwa Kahama nzima shule za Serikali nafunga account JF..
Tunduma 👇
Kwa hiyo Tunduma hakuna private investments au siyo? 😁Mmh we jamaa nae kwa madarasa ya Tunduma haujambo,
Watu wanakuletea private investments wee umekazana na madarasa 🥴 he!!
Ni sawa lkn ukiinsist sana madarasa unanichanganya 😂Kwa hiyo Tunduma hakuna private investments au siyo? 😁
😁
Kama kuna madarasa ya maghorofa shule za Serikali ndio private investments isiwepo?
Hatufanyi mjadala wa dini kwamba tutaamini bila picha,weka picha tuone uhalisia.Huu uzi mmuharibu, mapicha picha kibao yanin? Kwani vigezo vipi vinatumika kupima ukuaji wa mji, vitu km mzunguko wa pesa ambapo tunaweza kutumia ripot ya ukusanyaji mapato ndani na ripot ya TRA, mall kubwa kubwa, ongezeko la watu, kuimarika kwa huduma za afya na Elimu, miundombinu, upatikanaji wa maji na umeme wa uhakika.. n.k.