Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Kama idadi ya watu kahama imezidi tunduma


Kama miundo mbinu kahama imezidi tunduma

Kama mzunguko wa pesa kahama imezidi tunduma

Kama starehe na anasa kahama imezidi tunduma

Ukibisha na kuja na mifano ya Kila kitu hapo juu hivi Kuna kiwanda cha bati, misumari nk uko tunduma uko haya njoo kwenye anasa Sasa aisee anzia mbeya mjini mpaks boda tafuta tafuta the place kama the magic ipo wapi yani mnatoka tunduma mnaenda kwenye vibanda umiza eti kustarehe pale mwairubi au city pub si vibanda umiza vile

Kahama Kuna uwanja wa ndege nyie si mnaenda songwe hii inchi ukitoa dar the next ni mwanza na kahama over ukibisha nakuja na mifano
 
Mzunguko wa pesa unapimwa Kwa uwepo wa taasisi za kifedha ..tunduma ikiwa na matawi ya benki kama haya nitaipa hadhi ya kubattle na kahama
AZANIA bank isaka road na kagongwa
EQUITY bank isaka road
TCB bank mama farida road
Bank of Africa igalilimi
DTB bank kariakoo kubwa
.hapa sijaitaja NMB Ina branch mbili
CRDB Ina branch mbili
NBC bank ...
Kahama kwenye mzunguko wa pesa inaupiga mwingi sana na ni shopping hub ya wilaya za shinyanga,tabora,kigoma na geita...
 
Huwezi kupata viwanja vikali kama hvii tunduma
Kama bando huna shauri lako
 
Tunduma yote ukiniletea uwekezaji mkubwa kama huu ...niite mbwa na sitachangia kwenye huu Uzi
[emoji116]
 
Huwezi kupata viwanja vikali kama hvii tunduma
Kama bando huna shauri lako
Unaijua Tunduma au unahadithiwa? Kwa viwanja vya starehe Tunduma ni Kiboko..

Njombe imewatandika nje ndani Tunduma hamuiwezi.
 
Kweli usukuma ushamba, lengo la mada ni kulinganisha tunduma na kahama in term of fulsa za biashara. Wewe umekuja kubishana idadi ya baiskeri na bajaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…