The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #81
Picha ndio zinaongea sio porojo zako..Niambie sehem kwa kahama unaijua .au unabisha bila kufika shemu.mm mikoa ambayo sijafika tz ni ruvuma ,mtwala,Lindi , sumbawanga na Tanga mjini tu.mingine nimevuluga na wilaya zake karibia zote.sasa unabisha kishabiki.
Manyanya Oil Tunduma 👇