Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Tushawatajia tayari.benki ,hotel, biashara Kila kitu mnazidiwa .
Naanza na filling stations za Viwango..

Kahama huwezi pata kitu classic cha godofa kama hiki 😁😁

Mabena Investment filling station Tunduma..πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-093103.png
    171.4 KB · Views: 51
  • Screenshot_20220904-093240.png
    256.2 KB · Views: 49
  • Screenshot_20220904-093132.png
    199.1 KB · Views: 42
  • Screenshot_20220904-093146.png
    211 KB · Views: 41
  • Screenshot_20220904-093114.png
    240.2 KB · Views: 43
  • Screenshot_20220904-093220.png
    219.8 KB · Views: 44

Attachments

  • Screenshot_20220904-092646.png
    109.5 KB · Views: 45
  • Screenshot_20220904-092640.png
    118.1 KB · Views: 42
  • Screenshot_20220904-092652.png
    130.7 KB · Views: 39
  • Screenshot_20220904-092659.png
    112.5 KB · Views: 39
  • Screenshot_20220904-092617.png
    102.8 KB · Views: 36
  • Screenshot_20220904-092550.png
    119.1 KB · Views: 35
  • Screenshot_20220904-092533.png
    140.4 KB · Views: 34
  • Screenshot_20220904-092544.png
    104.2 KB · Views: 42

Attachments

  • Screenshot_20220904-093958.png
    198.2 KB · Views: 42
  • Screenshot_20220904-094946.png
    150.6 KB · Views: 39
  • Screenshot_20220904-095013.png
    151.1 KB · Views: 39
  • Screenshot_20220904-094026.png
    205.5 KB · Views: 37
  • Screenshot_20220904-094017.png
    134.8 KB · Views: 36
  • Screenshot_20220904-094043.png
    194.1 KB · Views: 30
  • Screenshot_20220904-095007.png
    172.5 KB · Views: 33
  • Screenshot_20220904-095024.png
    242.6 KB · Views: 34

Attachments

  • Screenshot_20220904-094702.png
    159.9 KB · Views: 35
  • Screenshot_20220904-094525.png
    218.7 KB · Views: 34
  • Screenshot_20220904-094749.png
    182.7 KB · Views: 47
Unapata wapi muda wa kupiga Picha property za watu kuja kupost ujinga JF?

Kama kuna mtu anakuita baba kala hasara.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Kwani hapa mjini hujui kwamba kuna fani ya wapiga picha?

Mzee zimejaa mitandaoni acha ushamba we boya.
 
Watu wa Kahama mnatakiwa kufahamu kwamba Tunduma sio size yenu..

Mkija kukaribia kufika hapa mnitag πŸ‘‡
 

Attachments

  • Tanzania-Back-page.jpg
    129.6 KB · Views: 46
  • Screenshot_20220904-094114.png
    190.7 KB · Views: 44
Watu wa Kahama mnatakiwa kufahamu kwamba Tunduma sio size yenu..

Mkija kukaribia kufika hapa mnitag [emoji116]
Leo umepost uchafu sijapata kuona ...[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]huo mji ,shabby town ,mji umepauka vumbi kalinganishe na ilula ya iringa huko
 
Leo umepost uchafu sijapata kuona ...[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]huo mji ,shabby town ,mji umepauka vumbi kalinganishe na ilula ya iringa huko
Ukisikia chwiiiiiii ujue ni πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰,dozi imeingia..

Mkuu tulia usilie Sana bado hujakamilisha dozi..😝😝

Tunduma town πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-093343.png
    192.1 KB · Views: 48
Wewe ni mpumbavu, huna tofauti na walugulu wanaojivunia mabasi ya Abood.

Onesha hata kibanda cha kuuza soda unachomiliki wewe binafsi.
Unfortunately humu hatuonyeshi vibanda bali structures kubwa kubwa za watu binafsi na Serikali..

Kwa hiyo toa upumbavu wako hapa.
 
Hao watu binafsi Kwa nini usiwe wewe? Jinga kabisa.

Nyinyi ndio wale mazuzu mnaopiga Picha kwenye magari ya watu kuposti mitandaoni.
Haiwezekani tukawa wote na hayo magorofa makubwa makubwa,ikiwa hivyo huta pata hata wa kukujengea na maana ya maisha itakuwa hakuna..

Kwa hiyo ondoa ujinga wako hapa.
 
Mapovu mengi Sana mkuu picha ndio zinaongea [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]..

Ujinga Hill Hotel,Kahama nzima hakuna [emoji116]
Niambie sehem kwa kahama unaijua .au unabisha bila kufika shemu.mm mikoa ambayo sijafika tz ni ruvuma ,mtwala,Lindi , sumbawanga na Tanga mjini tu.mingine nimevuluga na wilaya zake karibia zote.sasa unabisha kishabiki.
 
Tuliotembea sehemu nyingi duniani kama mimi miji ya Tanzania huwa naiona takataka tu.nchi nzima haijapangiliwa.Hakuna haja ya kulinganisha maana zote ni takatakatu
 
Tuliotembea sehemu nyingi duniani kama mimi miji ya Tanzania huwa naiona takataka tu.nchi nzima haijapangiliwa.Hakuna haja ya kulinganisha maana zote ni takatakatu
Ni kweli ila sasa tunalinganisha kwa standards za kibongo bongo..

Moja ya mambo ya hovyo hapa Tanzania ni kuwa na zero town planning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…