Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Niambie sehem kwa kahama unaijua .au unabisha bila kufika shemu.mm mikoa ambayo sijafika tz ni ruvuma ,mtwala,Lindi , sumbawanga na Tanga mjini tu.mingine nimevuluga na wilaya zake karibia zote.sasa unabisha kishabiki.
Picha ndio zinaongea sio porojo zako..

Manyanya Oil Tunduma ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-140834.png
    85.4 KB · Views: 34
Munio Filling station,Mpemba Tunduma ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • blue-gas-station-on-a-background-sky-E1MMKM.jpg
    95 KB · Views: 33
More PCs of filling stations in Tunduma๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-135647.png
    105.1 KB · Views: 37
  • Screenshot_20220904-135653.png
    249 KB · Views: 43
Hizo number za population ziko unrealistic, sensa iliyopita tunduma ilikua 97000 na hiyo Kahama haiwezi kufikia idadi hiyo ya watu
 
Hizo number za population ziko unrealistic, sensa iliyopita tunduma ilikua 97000 na hiyo Kahama haiwezi kufikia idadi hiyo ya watu
Mzee unafeli..

Kutoka kwenye tovuti zao..

1.Kahama,

2.Tunduma ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-142831.png
    38.6 KB · Views: 42
  • Screenshot_20220904-142629.png
    42.1 KB · Views: 54
Ulinganifu wa Mapato baina ya Kahama vs Tunduma ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-104556.png
    36.6 KB · Views: 53
Petro station moja matata ya mtu binafsi...
highway nyihogo[emoji116]
 
Stendi ya malori ya Rwanda na Burundi ..nyihogo
 
Kwenye Petro station tumeshawapiga nje ndani .3 bila ..ni zamu ya kukutembeza mitaa ya kahama uone business complex .
ISAKA ROAD .[emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hapa sio katikati ya mji Ni MTAA wa Majengo [emoji116][emoji116]
 
Ukisikia kuita maji mma ndo huku ..Uzi ushaukimbia huu hii battle ulikosea njia ...

Size kahama sio sawa na miji vyenu vya mchongo [emoji116]leta complex kama hii hapo village kwenu
 
Nyati Village Inn Tunduma ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-220526.png
    182.3 KB · Views: 30
  • Screenshot_20220904-220515.png
    210.4 KB · Views: 30
  • c469b0f8626c30b483e420d4bf38ac0d.jpg
    100.1 KB · Views: 35
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ