KAHAMA: Waliochangia harusi wapigwa changa la macho, wamekutwa ukumbi umepambwa ila wanaharusi hawakufika


Mimi nimeshangaa pia kama msosi upo harusi ya nini tena? Wangeufinya ubweche mambo yakaisha,
 
Hawa ndio waandishi wa kibongo, hii habari kuna zaidi ya hapo ila uwezo wa mwandishi ndio umeishia hapo na hii ndio uhalisi vyombo vya habari TZ kuanzia magazeti, TV, social media na radio.
Kilicho andikwa sio taarifa bali matokeo ya taarifa iliyotakiwa iandikwe[emoji28][emoji28][emoji28]
- Sasa sherehe imehairishwa vipi wakati chakula kipo na ukumbi uko wazi?
- Kukimbia na pesa tena siku za mwishoni ni sababu pekee inayoweza kuzuia sherehe isifanyike?
- Mwandishi anauhakika harusi ilifungwa?[emoji23][emoji23]
 
Uzembe mkubwa sana kweli mkoani mkoani tu.... Watu Dar huku kwny sherehe 90% wanakuja kula na kunywa ndio mana kanisani watu hawaji wanakuja ukumbuni sasa ka chakula kipo pombe zipo sidhani kama ingekua Dar es salaaam watu wangeacha
 
Mimi nimeshangaa pia kama msosi upo harusi ya nini tena? Wangeufinya ubweche mambo yakaisha,
Mm naamini 90 % ya eaenda harusini wanafata vitu vi 4:
1: msosi
2: bia/ kwa watumiaji
3: bibi harusi yupoje?
4: umbea

Hivi vyote vilikuwepo shida iko wap?
 
Mbona ukumbi umepangwa kama darasa la semina za Forex
 
Wageni waalikwa Wana lao Jambo yaani msosi upo bieree zipo kuzigida Hadi wamuone Bibi harusi loooo!!! Mbona hii ingetokea ushirombo Mambo yangekuwa supa, Tena Kuna mwingine anadai 50,000 yake!!!!!! Balaaa gani hili,hii kwetu ushirombo tunaita zali la mentali
 
Huyo mwenyekiti pia anatufunga kamba, iweje wengine wapewe taarifa za kuahirishwa kwa sherehe!!!?? mpambaji, mpishi na mwenye ukumbi wasiwe na taarifa na waendelee na mipango??
 
Duuh sas kama msosi ulikuwepo shida nn kuna jamb limejificha hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…