Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 172 Oct 20, 2009 #1 Mara ya mwisho nilisikia umequit politiq, siku hizi hata wanafunzi wako hawakuoni, werayu,or does anyone know the whereabouts of this guy?
Mara ya mwisho nilisikia umequit politiq, siku hizi hata wanafunzi wako hawakuoni, werayu,or does anyone know the whereabouts of this guy?
M Magehema JF-Expert Member Joined Aug 11, 2008 Posts 428 Reaction score 28 Oct 20, 2009 #2 Kama ni George Kahangwa atakuwa anafanya PhD Uk.
Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 172 Oct 20, 2009 Thread starter #3 Magehema said: Kama ni George Kahangwa atakuwa anafanya PhD Uk. Click to expand... Kumbe! Kama hii info ni reliable- kila la heri Kahangwa, but if you can read JF tafadhali confirm madai ya mkuu Magehema
Magehema said: Kama ni George Kahangwa atakuwa anafanya PhD Uk. Click to expand... Kumbe! Kama hii info ni reliable- kila la heri Kahangwa, but if you can read JF tafadhali confirm madai ya mkuu Magehema
C Charuka Member Joined Oct 20, 2009 Posts 56 Reaction score 18 Oct 20, 2009 #4 Du kama kaondoka wananchi wa NKENGE (jimbo la Dr.Kamala) watakuwa wamemkosa, maana alishakuwa tarajio lao mbadala baada ya Kamala kuwachosha kwa miyeyusho na dharau. Lakini juzi tu mbona alisikika akivinjari jimbo lile?
Du kama kaondoka wananchi wa NKENGE (jimbo la Dr.Kamala) watakuwa wamemkosa, maana alishakuwa tarajio lao mbadala baada ya Kamala kuwachosha kwa miyeyusho na dharau. Lakini juzi tu mbona alisikika akivinjari jimbo lile?