Kahangwa umedisapia?

Kahangwa umedisapia?

Waridi

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2008
Posts
1,025
Reaction score
172
Mara ya mwisho nilisikia umequit politiq, siku hizi hata wanafunzi wako hawakuoni, werayu,or does anyone know the whereabouts of this guy?
 
Kama ni George Kahangwa atakuwa anafanya PhD Uk.
Kumbe! Kama hii info ni reliable- kila la heri Kahangwa, but if you can read JF tafadhali confirm madai ya mkuu Magehema
 
Du kama kaondoka wananchi wa NKENGE (jimbo la Dr.Kamala) watakuwa wamemkosa, maana alishakuwa tarajio lao mbadala baada ya Kamala kuwachosha kwa miyeyusho na dharau. Lakini juzi tu mbona alisikika akivinjari jimbo lile?
 
Back
Top Bottom