BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Walifika semi final 2018,Hahahaha, wacha kulazimisha mambo, mbona England ligi yao ni bora lakini National team haifanyi vizuri?, kubali ukweli kwamba tumewazidi kwa mbali sana ktk football
Zote ni chooooTunalinganisha Kenya na Tanzania, wacha kutafuta usaidizi wa hizo nchi zingine
Tunazungumzia ubora wa timu ya Taifa ukilinganisha na ubora wa Ligi ya nyumbani, hata Tanzania pia tulifika Katika hatua za makundi CAFWalifika semi final 2018,
Plus 16 round huwa hawakosiii
Duniani kuna michezo miwili tu 1)Footbal 2)The rest.Zote ni choooo
ATLEAST rugby union na volleyball federation tunawakilisha world level
Alafu tunawatwanga kwa hiyo One and only dear sport.Na national team ni KINYESI,
nchi ya one sport
Aaah! We si ununajua Harambee Stars lazima ipindishe Taifa Rats mgongo!Duniani kuna michezo miwili tu 1)Footbal 2)The rest.
Tanzania football league is the best in East and Central Africa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunawagonga kila upande,Hahahaha, wacha kulazimisha mambo, mbona England ligi yao ni bora lakini National team haifanyi vizuri?, kubali ukweli kwamba tumewazidi kwa mbali sana ktk football
Kwani nikisema walifika semi last time iyo si ubora?Tunazungumzia ubora wa timu ya Taifa ukilinganisha na ubora wa Ligi ya nyumbani, hata Tanzania pia tulifika Katika hatua za makundi CAF
Football yenyewe mko ranked 140!!!Duniani kuna michezo miwili tu 1)Footbal 2)The rest.
Tanzania football league is the best in East and Central Africa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan kahata hapa tz si karudi juzi tu .alikuwepo kenya. Niliwauliza ili ktk uzi flan ... Kahata anafanya kaz Tz, tangu amerudi kenya zaidi ya mara 3 je mlishahawi kusikia yupo positive na covid 19 ? Kagere amerudi rwanda hajawahi test pos + ya covid 19, tuna players from Brazil hawajawahi kuwa + covid 19. You people mnashidaaaHuyo Kahata mwenyewe akirudi tutamtia kwenye karantini ya siku 14 ili kuhakikisha hana corona
Wakenya wanafuatilia simba day.
. Wale kenge wanaosema TZ kuna Corona ndio wacheki hii ili wajue maisha ya bongo
Wanapita Kwa mbaaali shenzi
Tanzanians are more closer to their local clubs than national team. Simba Sc & Yanga are a regular team in Africa champions league.Kwani nikisema walifika semi last time iyo si ubora?
Unaongea vitu hujui.
Mbona?Tunazungumzia ubora wa timu ya Taifa ukilinganisha na ubora wa Ligi ya nyumbani, hata Tanzania pia tulifika Katika hatua za makundi CAF
Boss one of your top team(yanga) ilipigwa huku kenya na nakuru all stars team haipo ata ligi ya kenya unadhani tumesahau...best my footDuniani kuna michezo miwili tu 1)Footbal 2)The rest.
Tanzania football league is the best in East and Central Africa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye mpira Kwanza sisi uchumi wetu uleule tu Kwan hiyo habar baada ya kuiona kuna mradi wowote umesimama? Miradi yote kila kukicha watu wanaingia mzigoni sasa ligi ya bongo ndio England ligi wa hapa A mashariki na kati