BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Walifika semi final 2018,Hahahaha, wacha kulazimisha mambo, mbona England ligi yao ni bora lakini National team haifanyi vizuri?, kubali ukweli kwamba tumewazidi kwa mbali sana ktk football
Plus 16 round huwa hawakosiii