Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kweli tuna jicho tofauti
Kahata hafikii hata robo ya NiyonzimaHuyu jamaa naona kama tumepigwa hivi. Au tumpe muda aendelee kuzoea ligi ya Vodacom?
Huyu jamaa naona kama tumepigwa hivi. Au tumpe muda aendelee kuzoea ligi ya Vodacom?
Niyonzima ni wa furahisha jukwa tu na hana madhara kwa timu pinzani hasa Kama timu yake inashambuliwa.Kahata hafikii hata robo ya Niyonzima
Nakuunga mkonoSimba walipoteza pesa
Miezi sita ndio anaupiga mwingi, basi mjanja sanaNiyonzima ni wa furahisha jukwa tu na hana madhara kwa timu pinzani hasa Kama timu yake inashambuliwa.
Pia huyo Kijana ni pasua kichwa sana, huwa anaanza kucheza mpira miezi sita kabla ya mkataba wake kwisha.
Yanga wanaifatilia sana simba kuliko Yanga
Hamna mchezaji hapo, kwa nini mlimuacha Haruna