Kahata Tumjadili Kwanza au Tuendelee Kumpa Muda?

Kahata Tumjadili Kwanza au Tuendelee Kumpa Muda?

Kuhusu offensive player kahata kakamilika
 
Pasi yake ya leo daaah imenipa burudan sanaaaa
 
Kahata ni bora mara mia kuliko Dilunga, kocha ana biffu na Wachezaji anaamua kuwakomoa tu.
 
Kahata dirisha dogo anarudi Gor Mahia.
Mstari mwekundu umeshampitia.
 
Kahata mchezaj mzuri tu sema misumar bongo ndio tishio sijawai kuona mchezaj akatoka Kenya akaja kuwika bongo zaid ya bonifas Amban na Ben mwalala sijui hawaamin kweny uchawi
 
Back
Top Bottom