Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000.
Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana inasemwa kuwa ukiacha mafuta, bidhaa inayofuata kuwa kuwa na jumla ya pesa nyingi duniani ni kahawa.
Pengine ndiyo maana watu wanaoishi kwenye mikoa inayozalisha kahawa waliweza kumudu kupeleka watoto shule. Pesa iliyopo kwenye kahawa inatisha.