jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Tatizo ni kwamba wazungu hawaamini packed products za Tanzania-wanadai packing methods ni sub standard- they believe in KenyaSwala usilolijua litakusumbua kwa taarifa yenu kahawa ya Tanzania ndio kahawa bora duniani trust me,
Note, nimezaliwa kwenye coffee estate