Kahawa ya Kenya ndani ya Wal-Mart

Swala usilolijua litakusumbua kwa taarifa yenu kahawa ya Tanzania ndio kahawa bora duniani trust me,

Note, nimezaliwa kwenye coffee estate
Tatizo ni kwamba wazungu hawaamini packed products za Tanzania-wanadai packing methods ni sub standard- they believe in Kenya
 

Kaka Qmini usiamini utashangaa hiyo Kahawa ni ya Tanzania au Uganda lakini ndio hivyo wajanja wameweka kwenye makopo na jina la nchi yao
 
nyie ccm kwakupenda excuse hamjambo na ndio mnatukwamisha, fair ground fair ground wakati wewe hapa kwako unafukuza wawekezaji nani akubali ukawekeze kwake
 
Kaka Qmini usiamini utashangaa hiyo Kahawa ni ya Tanzania au Uganda lakini ndio hivyo wajanja wameweka kwenye makopo na jina la nchi yao
Kwa taarifa yako katika soko la kimataifa la kahawa Brazil ndio inayoongoza kwa kubrand kahawa yao kwa jina la Tanzania sababu ya kahawa ya Tanzania kupendwa kupindukia kuliko kahawa yoyote duniani companies nyingi wamekua wakilable kahawa nyingi kutoka Latin America kama zinatoka Tanzania.
 
Tatizo ni kwamba wazungu hawaamini packed products za Tanzania-wanadai packing methods ni sub standard- they believe in Kenya
Ni Mzungu yupi alikuambia hivyo?
Hizo brands utasema ni za abroad lakini hata hapa nyumbani zipo brands nyingi tena mpaka nyingine za wasanii, nampongeza G-Nako kwa kuleta brand yake ya coffee inayoitwa Nuru coffee inafanya vizuri sokoni na atafika mbali,

Hapo kwa mtazamo wako unaweza kutofaitisha na brand za nje zaidi ya jina tu?
 
Watanzania bana,kwanini mnakuwa so misinformed-usitaje kahawa ya Tanzania na ya Brazil in the same breath-hawa Brazil wako mbali sana.Brazil amewahi mwaga surplus coffee baharini ili kustabalise bei ya coffee- Brazil can force you to drink all your coffee domestically by pricing you out of the world market
 
Swala usilolijua litakusumbua kwa taarifa yenu kahawa ya Tanzania ndio kahawa bora duniani trust me,

Note, nimezaliwa kwenye coffee estate
Swala si ubora...marketing...
Na ubora unaoongelea ni upi? taste?
 
yani wanaongea utasema hapa kuna species unique...
 
Zamani niliaminishwa kuwa giraffe anapatikana Tz tu....ha ha ha....kumbe sijui tulipewa zawadi vile...ndio wakazaliana...
 
Sasa hivyo vitu ulivyoongea kuhusu Brazil vinauhusiano gani na Brazil kubrand kahawa yao tanzanian coffee,

By the way unaijua hii sector ya kahawa au you just comment because you have been quoted???

. Nimeweka hizo brands zote hapo zina tanzanian coffee sio kuonyesha we have many, but is to show they love our coffee that's why every single beverage wants to label "tanzanian coffee" on the package no matter its genuine or just some words "tanzanian coffee" Usidhani ipo hivyo coincidentally.
 
In the real world for your information hizi Coffee hazina difference-ni marketing gimmicks ndio zina play part kubwa-for which Tanzania unlike Kenya hatukujaliwa
 
In the real world for your information hizi Coffee hazina difference-ni marketing gimmicks ndio zina play part kubwa-for which Tanzania unlike Kenya hatukujaliwa

Hiyo ni different aroma and taste profile in coffee and can be noticed easily.

We bwanaa endelea kusuka watu mabutu ukijifanya mjuaji kwenye masuala usiyoyajua ni kujiaibisha kwanza hoja yako ya mwanzo ilikua ni packaging nafikiri nilishakujibu na hiyo Nuru coffee thank you.
 
Hivi wewe unafikiri consumers in the first world hizo aroma na tastes wanazitilia maanani!! Wao ni brands tuu.Tatizo letu wabongo ni exposure-ingia supermarket yoyote lets say in a cosmopolitan city like London utashangaa,choice ilivyokuwa kubwa,alaafu unakuta brand ya Kenya-lazima ujiulize hii imefikaje hapa-hizo brands za Tanzania ni non existent
 
Such as your brain is non existent
 
Such as your brain is non existent
Nyani ngabu,kuikuta kahawa ya Kenya kwanini ashanghae?? Shelves zimejaa kahawa kila aina,competition ni cut throat-alaafu a mere Kenya is fighting it out with the big guns sio mchezo- Brand ya Tanzania hapo inaweza ika expire bado iko kwenye shelves
 
Maybe this is the major pointer as to why @NyaniNgabu posted Kenyan Coffee here in the first place and not Tanzanian.

Sio tu MISINFORMATION, hii ni a weird form of aggressive ignorance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…