Kahawa ya TANZANIA yaongoza kwa ubora duniani, kahawa ya Kenya yawa ya kumi

Hivi bado tunalima kahawa kumbe maana huku Bukoba tulishajikatia tamaa kutokana na mambo ya vyama vya ushirika na bei ya kahawa.
 
Sasa hivi watasema kuna sumukuvu ndani ya kahawa ya Tanzania kama yalivyo mahindi
 
What tonnes do you produce malazy?? Nchi imezubaa sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…