Kahuruma fulani kameshaanza kuniingia kwa waPalestina

Kahuruma fulani kameshaanza kuniingia kwa waPalestina

Wamama na watoto wanapoteza maisha hii haikubaliki. Israel wajitahidi sana kuwa waangalifu. Tunawaunga mkono kujilinda lakini maisha ya wamama watoto wasio na hatia inatugusa sana.

Hamas hawa wakulaumiwa wasiwatumie wamama na watoto kama ngao.

Natoa Rai pande zote mbili zikae katika meza ya mazungumzo na maelewano.

Ila tumesahau mtu mmoja tu muweza wa yote ambaye tukimuomba kwa dhati nakufuata mafundisho yake huu mzozo wa Israel na Palestina unaweza ukaisha na si Palestina na Israel bali amani kwa binadamu wote.

Si mwengine ni Yesu wa Nazareti mwana Mungu. A

Tatizo wengi wanampuuzia lakini ni simple tu alisema mpende jirani yako unavyojipenda na mpende Mungu kwa nguvu zote akili zote na roho yote.

Yani hivi viwili tu ni amani ya milele
HARAAAMU HULIWA NA HARAMUU SOMAA MAANDIKOOOO

OLE WAKE AGUSAYE TAIFA LA MUNGU

ZIKO OLE 22
HAOO WANATIMIZA.MAANDIKO TU AWAJAANZA KUPIGA MKUU WAKIPIGA WANASAFISHA MJIMZIMA WAANZE KUZALIANA UPYA
 
Wapalestina /Wafilisti hao wasiotahiriwa mioyo sio watu wa kuonewa huruma.

Ni Magaidi na waliokuwa na nia mbaya sana kwa Waisrael, imagine they sent more than 2400 rockets for the purpose of killing Israelites, ni vile tu Iron Dome technology imewasaidia waisrael kupunch hiyo missiles ya Palestine.

Huwa wanatangaza kuwa lazima Israel ifutike kwenye ramani ya Dunia...kwani ni wao waliwaweka? Stupid palestines

Tena Israel waliwaonea huruma kuwatangazia siku tatu kabla kuwa watafanya malipuzi sehemu kadhaa zenye Magaidi, tatizo hao Magaidi wanawatumia watoto wadogo kama ngao yao halafu watoto wakifa wanawapiga picha na kusema ni Wanajeshi wa Israel wamewaua.

Ni vichokozi halafu vikichapwa vinakimbilia kushitaki duniani.

Ikitokea siku moja wakamalizwa wote itakuwa Shangwe, Nderemo na Vifijo

View attachment 1791113
Israel ni muoga,wanashindwa kukabiliana na wapiganaji wa kipalastina uso kwa uso,wanarusha mabomu.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna mwananchi wala mtoto,wala Mwanamke,wala asiyehisika na vita,alipigwa hata kofi wacha bomu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Israel haipigani na Palestine,, inabidi uelewe kwanza hilo..
Israel wanapigana na kikundi cha wanamgambo HAMAS...
Lakini waisrael ni waoga,wanarusha mabomu,kwa kuwapiga raia,badala ya kukabiliana na wapiganaji wenzao,Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna hata raia aliyeumia,vita ilikuwa uso kwa uso na wapiganaji.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Israel ni muoga,wanashindwa kukabiliana na wapiganaji wa kipalastina uso kwa uso,wanarusha mabomu.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna mwananchi wala mtoto,wala Mwanamke,wala asiyehisika na vita,alipigwa hata kofi wacha bomu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Ni kweli na wale wanaojificha kwenye makazi ya watu na kurusha magrenedi ni mashujaa.
 
HARAAAMU HULIWA NA HARAMUU SOMAA MAANDIKOOOO

OLE WAKE AGUSAYE TAIFA LA MUNGU

ZIKO OLE 22
HAOO WANATIMIZA.MAANDIKO TU AWAJAANZA KUPIGA MKUU WAKIPIGA WANASAFISHA MJIMZIMA WAANZE KUZALIANA UPYA
Taifa la Mungu,wakati ni waoga ,wanashindwa kupigania na wapiganaji wenzao,wanapiga raia na wanawake,na watoto,yoga mkubwa sana.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Palestina wamesahau awapigani na Israel wanapigana na alieejuu
mfalme wa wafalme**alpha na omega
mwanzo na mwisho...
Huyo aliyejuu,ni yupi anayeua watoto,wanawake,raia wa kwaida.Israel ni muoga sana,badala ya kupigana na wapiganaji,wanawapiga watoto,wanawake,huu ni uoga wa hali ya juu.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna hata raia aliyepigwa hata kibao,wacha bomu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli na wale wanaojificha kwenye makazi ya watu na kurusha magrenedi ni mashujaa.
Kama wamejificha kwenye makazi ya watu,wanashindwa nini kuwafuata kwa mbinu za kijeshi,na kuwakamata,kama sio uoga wa kuwaogopa wanamgambo.Ni aibu kubwa sana,jeshi kupiga raia,na kupigana na mwanamgambo.Uoga wa Hali ya juu.Tafuta mtu akuelezee jinsi jeshi la Tanzania,lilivyopigana Uganda,kwa kutumia mbinu za kijeshi,bila kuumiza raia

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Kama wamejificha kwenye makazi ya watu,wanashindwa nini kuwafuata kwa mbinu za kijeshi,na kuwakamata,kama sio uoga wa kuwaogopa wanamgambo.Ni aibu kubwa sana,jeshi kupiga raia,na kupigana na mwanamgambo.Uoga wa Hali ya juu.Tafuta mtu akuelezee jinsi jeshi la Tanzania,lilivyopigana Uganda,kwa kutumia mbinu za kijeshi,bila kuumiza raia

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Kwani nimebisha. Nakubaliana na wewe na nimesisitiza tu wale waliojificha na kurusha makombora ni mashujaa.
 
Back
Top Bottom