Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Hamas ni nchi???Israel ni muoga,wanashindwa kukabiliana na wapiganaji wa kipalastina uso kwa uso,wanarusha mabomu.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna mwananchi wala mtoto,wala Mwanamke,wala asiyehisika na vita,alipigwa hata kofi wacha bomu.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Kawasaidie basi... 😂😂 😂Lakini waisrael ni waoga,wanarusha mabomu,kwa kuwapiga raia,badala ya kukabiliana na wapiganaji wenzao,Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna hata raia aliyeumia,vita ilikuwa uso kwa uso na wapiganaji.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Duh, nyie bhana. Akashike mtu asiyejulikana. Hamas hawana combat official utawajua nazo sababu sio kikosi cha kijeshi. Same with Alqaeda, ISIS nk. Kuwapata hata mkiwa kwao ni ngumu, hadi alianzishe ndio ujibu, bila hivyo wataenda piga doria ya bure tu. Hao hao wananchi ndio Hamas na Hamas ni wananchi, period!!!Kama wamejificha kwenye makazi ya watu,wanashindwa nini kuwafuata kwa mbinu za kijeshi,na kuwakamata,kama sio uoga wa kuwaogopa wanamgambo.Ni aibu kubwa sana,jeshi kupiga raia,na kupigana na mwanamgambo.Uoga wa Hali ya juu.Tafuta mtu akuelezee jinsi jeshi la Tanzania,lilivyopigana Uganda,kwa kutumia mbinu za kijeshi,bila kuumiza raia
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Kwenye vita, collateral damages hutokea. Pitia vita vyote uone, raia wa kawaida hufa bahati mbaya pia, sio kupenda kwao. It's war!Ni aibu kubwa kwa jeshi la nchi,kupigana na wanamgambo,kupiga raia,watoto,wanawake.Ni jeshi lisilo na mbinu za kijesh.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
ISIS, ALQAEDA, BOKO HARAM, ALSHABAB NK. wote hao hawajaisha, na wanaongezeka kila kukicha. Nchi ngapi zimepigana vita na hiyo migambo /terrorists na bado hawajaisha hadi leo hii. Ni kuwadhibiti tu kwa mda ila hawaishi, wanakufa na wengine wanajiunga. It's a cycle. So hakuna kusema jeshi la Israel limeshindwa, la hasha, wanaangalia pia hawawezi fagia kila kitu ilhali uchafu mwingine uko mvunguni.Wale waliojificha wanamgambo,usifananishe mgambo na mwanajeshi.Jeshi lonashindwa mbinu za kukamata wanamgambo.Ni aibu kubwa.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Kipofu au kilema mwenye fimbo ama mkia wa taa!? 🤣 🤣 🤣Hivi vita ni baina ya wanamgambo na wanajeshi,wewe uliwahi kusikia nchi gani,jeshi kupigana na raia?Hapa ni sawa na mtu mwenye maguvu,kupigana na kilema,tena kipofu.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Uganda walikuwa terrorists? Walikuwa hawana uniform za identity? Walikuwa wanapigana kutumia mfumo wa Guerilla warfare? Waganda walikuwa wanarusha rockets kama ilivyo sahi pande ile?Huo ndio ukweli,jeshi,linapigana na raia,badala kutumia mbinu za kijeshi,kuwadhibiti wanamgambo,bila kuumiza raia,wanashindwa.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna raia aliyepigwa hata kofi.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Israel ni muoga,wanashindwa kukabiliana na wapiganaji wa kipalastina uso kwa uso,wanarusha mabomu.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna mwananchi wala mtoto,wala Mwanamke,wala asiyehisika na vita,alipigwa hata kofi wacha bomu.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi mkuu, wanamgambo ndo mashujaa wa kweli.Wale waliojificha wanamgambo,usifananishe mgambo na mwanajeshi.Jeshi lonashindwa mbinu za kukamata wanamgambo.Ni aibu kubwa.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Saddam Hussein na nchi yake walianza hivyo licha ya kuonywa kutojishirikisha na vikundi vya kigaidi kudhalilisha wazungu. Matokeo yake uliyaona!Majibu ya hayo maswali yako hayajalishi..
Tunasema nchi moja inapigana na nyingine iwapo majeshi ya hizo nchi mbili zinahusika..
Bila shaka Israel wanatumia jeshi lao,,
vp kuhusu Palestina ?.... Hamas ni jeshi la Palestina ?
😂 😂 😂Natamani Israel ikosee mahesabu mabomu yalenge ofisi za CCM
Hilo linajulikana tayari, hata wewe ukimpiga myahudi watakupa makaazi Palestina na Hamas wao! 🤣 🤣 🤣Wapi umeskia hamas wanafichwa kwenye majumba ya wapalestina ?
Wana makazi yao wao wenyewe.....
Wapi umeskia raia wanashirikiana na HAMAS ?
We unahisi Israel kuwashambulia Hamas ndio kutaleta amaniTatizo la palestina mpaka unawaonea huruma ni kwamba, hao Hamas wanapiga Israel alafu wanakimbia kujificha kwa raia wema, hii ni mbinu mbovu na ya kipumbavu ili mataifa ukiwepo na wewe muionee huruma.
Wanachofanya Israel si sahihi ila mwisho wa siku wanaona bora wawachape huko huko wanapojificha japo kuna watakaoumia ambao hawana hatia.
Mkuu ushaangalia movie ya Anoldi collateral damage. Bonge la movie na maudhui mazuriKwenye vita, collateral damages hutokea. Pitia vita vyote uone, raia wa kawaida hufa bahati mbaya pia, sio kupenda kwao. It's war!
Silaha hazichagui, ndo maana vita siku zote sio suluhisho.
Anawezaje kuwa na mtoto ?Hivi Mungu hawezi kuwa na mtoto?
Oya ndugu yangu mzayuni upoo?Huruma gani mkuu inakuingia? Hujaangalia site za wapalesitina wanavyo jimwambafai kuwa wamewagalagaza Wazayuni vibaya? Allah anawasaidia kwa mujibu wao.
Au wewe unaangalia Update kutoka kwa Wazayuni peke yao.
Wapi umeskia hamas wanafichwa kwenye majumba ya wapalestina ?
Wana makazi yao wao wenyewe.....
Wapi umeskia raia wanashirikiana na HAMAS ?
Wapi umesikia wamekumbatia hao magaidi ? Au unatupa story za vijiweni tu !!1. Kama Israel wanapigana na HAMAS. Sasa hao Wapalestina wanalalamika nini?
2. Hamas wanapigana kwa manufaa ya nani?
3. Na wanapigana na Israel wakiwa wapi?
Huwezi kuwakumbatia magaidi halafu uonewe huruma. Shida ya watu wanaoabudu dini ya mwarabu huwa hawataki amani. Unajua watu wanajeshi na wanasilaha kali, mnakomaa kupigana nao ili mtafute huruma kutoka kwa watu. Cha ajabu hata hao wanaoabudu dini ya warabu wamewatenga. Nyinyi hamjiongezi tu
Iran pamoja na kujigamba ana silaha kali ila yupo kimya tuli.
Acha wale kichapo ili akili ikae sawa.