Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mkurugenzi wa Uchaguzi Bwa. Kailima Ramadhani amesema kwa muujibu wa sheria kifungu cha 129 cha sheria uchaguzi wa Rais, Ubunge na Madiwa Mtu ambaye kwa dhairi au kwa kificho yeye mwenyewe au mwingie kwa niaba yake anatumia au kutishia kutumia nguvu, vurugu au kizuizi au anasababisha au anatishia kusababisha yeye mwenyewe au mtu mwingine yoyote kwa niaba yake jeraha la mwili au la kiroho au kusababisha hasara au dhidi kwa mpiga kura kwaajili ya kumshawishi au kumlazimisha mpiga kura huyo kupiga kura au kuacha kupiga kura kwa maana hiyo Ni kosa kisheri