Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,134
nimependa signature yako.
yani me vitam napenda ila nawochi mai figa pia..bas tafrani..naishia kula gizani nsionekane...teh
Thanks.
Mie nime watch sana my figure na mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa,tatizo sasa umri unasogea naona umbo nililonalo haliendani na umri wala status niliyonayo maana mpaka wadogo zangu wanaonekana wakubwa kwa maumbo.
Nimefungulia kula kila kisichonidhuru ili mwili uje nao ndio umegoma hasa! farkhina anisaidie tu menu za kuwa bonge nikeshe nazo
Last edited by a moderator:
