nimependa signature yako.
yani me vitam napenda ila nawochi mai figa pia..bas tafrani..naishia kula gizani nsionekane...teh
Me usoni ndo utajua im young! sitishi im sexxy like that and i dont look bad at all sema napenda kupungua kidogo.Ila vitam napenda teh chocolate mamamamam acha tuu..kwa farkhina nakuja napo...hmmm em nipe siri ya urembo jamanThanks.
Mie nime watch sana my figure na mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa,tatizo sasa umri unasogea naona umbo nililonalo haliendani na umri wala status niliyonayo maana mpaka wadogo zangu wanaonekana wakubwa kwa maumbo.
Nimefungulia kula kila kisichonidhuru ili mwili uje nao ndio umegoma hasa! farkhina anisaidie tu menu za kuwa bonge nikeshe nazo
Tusichakachue thread ya watu mwaya,tukayaongee kipande ileeee ili tusikere wengineMe usoni ndo utajua im young! sitishi im sexxy like that and i dont look bad at all sema napenda kupungua kidogo.Ila vitam napenda teh chocolate mamamamam acha tuu..kwa farkhina nakuja napo...hmmm em nipe siri ya urembo jaman
Thanks.
Mie nime watch sana my figure na mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa,tatizo sasa umri unasogea naona umbo nililonalo haliendani na umri wala status niliyonayo maana mpaka wadogo zangu wanaonekana wakubwa kwa maumbo.
Nimefungulia kula kila kisichonidhuru ili mwili uje nao ndio umegoma hasa! farkhina anisaidie tu menu za kuwa bonge nikeshe nazo
hii kaimati kwa sie tusiopenda sukari twaweza tumia asali au..
Hahahahaha kunenepa sio kula tu bi shosti...
mmmh kaimati zimenivutia,na huu upishi nitaujaribu
Mambo ya Ramadan hayo.
Mi kila pishi nnoliona hapa natamani nlipike. Lol.
Asante habibty
#rasai
pitia hapa
Ramadhan ndo hii vp kaimati zipo uko?
Umejuaje? Jana tu nimepika.
Wtt wanazipenda sana