Kaimu Balozi wa Marekani Andrew Lentz nae yupo Ikulu akisubiri kwa hamu ripoti ya Jaji Chande

Kaimu Balozi wa Marekani Andrew Lentz nae yupo Ikulu akisubiri kwa hamu ripoti ya Jaji Chande

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Namuona hapa Kaimu Balozi Andrew Lentz akiwa Ikulu akisubiri ripoti ya Jaji Chande

Wachina na Warusi sijawaona hapa, au hii ripoti haiwahusu?


?​
 
Ni saa ngapi hii ripoti inatolewa mkuu
 
Japokua wahenga wanasema "usikatae wito, kataa neno" ila hao mabalozi wamekubalije kwenda kusikiliza ujinga.
 
Japokua wahenga wanasema "usikatae wito, kataa neno" ila hao mabalozi wamekubalije kwenda kusikiliza ujinga.
Mabalozi wanawakilisha masilahi ya nchi.
Inawezekana huo ujinga unawasaidia.
 
Back
Top Bottom