Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwahyo ni kama unasema jamaa amepagawaBado ana Mawenge Ya Kutolewa Michuano CAF CL, Muda unahitajika ili akili ikae sawa. Sio Jambo dogo Kufurushwa round Ya Awali
Hajafafanua, yeye anaamini watashindaamesema wakifungwa wafanywe nini?
huyu jamaa hakustahili kuwa upotolo kwani anaongea ukweli tofauti na upotolo wengine kama kina Kitenge.Akiongea na kituo cha radio cha Efm kupitia kipindi cha michezo cha asubuhi, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa amekiri kuwa hawakujipanga vizuri kwenye pre season hivyo kupelekea timu yao kutolewa na Rivers United katika hatua ya awali ya Caf Champions League!!
Haji Mfikirwa akaongeza kuwa
" Tumepata somo zuri katika mechi hizi mbili za Rivers na sasa tunaenda kumfunga Simba jumamosi kwenye mechi ya ngao ya jamii".
Una maoni gani kuhusiana na kauli ya kaimu ceo wa Yanga??
Unajitenya na kucheka mwenyewe.Jumamosi siyo mbali ,Tambo na Majigambo ndiyo mwisho wake.Baada ya mchezo hatutaki sababu za kijingajinga.Nyama pori inaliwa Supu bila hurumaFuture imposible tense! yani Yanga ndo wakusema hivyo au huyu sio mtu wa Yanga ni pandikizi tu maana najua mashabiki wote wa Uto[emoji196]wamekiri toka jana kwamba mnyama[emoji881] wa msimu unaokaribia kuanza ni hatari[emoji57][emoji881][emoji881]
Sio mbali kweli! sema mbona toka kitambo wanaojulikana kwa lawama tunawajua au mwenzetu umesahau kamati letu la lawama kwa TFF🐸🐸🙄Unajitenya na kucheka mwenyewe.Jumamosi siyo mbali ,Tambo na Majigambo ndiyo mwisho wake.Baada ya mchezo hatutaki sababu za kijingajinga.Nyama pori inaliwa Supu bila huruma