hivi ni kwa nini mtu anayekaimu ujaji mkuu ni lazima aapishwe?
na je nani anamteua kaimu jaji mkuu,rais au jaji mkuu?
na je kwa mfululizo wa nafasi ya mtu kukaimu urais je kaimu jaji mkuu anabaki kwenye nafasi ya jaji mkuu kukalia kiti cha urais?
nawasilisha