tangu ndg omari mkombole ateuliwe kukaimu ukurugenzi manispaa ya arusha amepelekea walimu kuwa wa mwisho kulipwa mishahara yao. Hii inafanya ugumu na kuleta usumbufu kwa waajiriwa wote ambao ni walimu wa serkali katika halmashauri hiyo. Hafai katika hiyo nafasi!! Nawasilisha!