Kaimu mkurugenzi halmashauri ya jiji Arusha hafai kuwa mkurugenzi!

Kaimu mkurugenzi halmashauri ya jiji Arusha hafai kuwa mkurugenzi!

ndesamburo kwek

Senior Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
136
Reaction score
21
Tangu ndg Omari Mkombole ateuliwe kukaimu ukurugenzi Manispaa ya Arusha amepelekea walimu kuwa wa mwisho kulipwa mishahara yao. Hii inafanya ugumu na kuleta usumbufu kwa waajiriwa wote ambao ni walimu wa serkali katika halmashauri hiyo.

Hafai katika hiyo nafasi!! NAWASILISHA!
 
tangu ndg omari mkombole ateuliwe kukaimu ukurugenzi manispaa ya arusha amepelekea walimu kuwa wa mwisho kulipwa mishahara yao. Hii inafanya ugumu na kuleta usumbufu kwa waajiriwa wote ambao ni walimu wa serkali katika halmashauri hiyo. Hafai katika hiyo nafasi!! Nawasilisha!
ungekuwa unajua taratibu za kulipa mishahara nadhani usingesema unayosema sasa.
 
Tangu ndg Omari Mkombole ateuliwe kukaimu ukurugenzi Manispaa ya Arusha amepelekea walimu kuwa wa mwisho kulipwa mishahara yao. Hii inafanya ugumu na kuleta usumbufu kwa waajiriwa wote ambao ni walimu wa serkali katika halmashauri hiyo.

Hafai katika hiyo nafasi!! NAWASILISHA!

Yaelekea unamatatizo yako binafsi. Kazi yake kubwa tumeoiona, Arusha kunautengemano na maelewano kwa watu wenye itikadi mbalimbali, na hata usafi wa jiji unaridhisha kuliko hata DSM.
 
Back
Top Bottom