Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Michezo , Ally Mayai atembelea Uwanja wa Benjamin Mkapa

Uyo jamaa Mimi nampenda sana hapendi uchawa Kawa wachambuz wengine anajulikana kama ni shabiki wa yanga lakini jamaa hanaga uchawa kabisa yey anafanya Kaz yak ya uchambuzi vizuri
Sasa wNachambua tu ila wakipewa timu hata mtoano tu hatutoboi kuchambu mpira Ni uongoo mtupuu huo Ni moja Kati ya Kaz za uongo uongo hazina ukweli


Mfno Kam alliy kamwe anjionachambuz bas apewe hat katimu tu uone jinsi atakavyo potezwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…