goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Sasa wNachambua tu ila wakipewa timu hata mtoano tu hatutoboi kuchambu mpira Ni uongoo mtupuu huo Ni moja Kati ya Kaz za uongo uongo hazina ukweliUyo jamaa Mimi nampenda sana hapendi uchawa Kawa wachambuz wengine anajulikana kama ni shabiki wa yanga lakini jamaa hanaga uchawa kabisa yey anafanya Kaz yak ya uchambuzi vizuri
Mfno Kam alliy kamwe anjionachambuz bas apewe hat katimu tu uone jinsi atakavyo potezwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app