Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
M
kuu Demokrasia ikizidi ni shidaKuwasiliana na wazazi hakumpi mamlaka ya kutimua wanafunzi muda wa masomo wakafuate michango ambayo wazazi au walezi ndiyo wanawajibika kuitoa.Lengo mahsusi la wanafunzi kuwa shuleni ni kupata elimu/ujifunzaji na si hafla wala mahafali.Kwa nini wasiweke mipango ya uchangiaji kidogokidogo kwa muda mrefu/utakaotosha kulingana na hali zao?Miongozo ya kazi kiualimu inamuelekeza awatimue wanafunzi warudi nyumbani kufuata michango ya mahafali?