KERO Kaimu Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Mugundu ni tatizo, mamlaka ziingilie kati

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
M
kuu Demokrasia ikizidi ni shida
 
M

kuu Demokrasia ikizidi ni shida
Hapo hakuna kuihusisha demokrasia na weledi na uadilifu kazini.Walimu wengi hujisahau hadi kutotii hadi maagizo halali ya viongozi wao.Msiwadekeze wataumia.They have to go by the book!Hatuendi hobelahobela ili mradi tu wakusanye mahela.Uliwahi kusikia wanawarudisha wanafunzi nyumbani kufuata penseli au peni walizozisahau?Muda mwingi ni masuala ya pesa tu hadi kuwadunda watoto.
 
Ndionilishawahi kusi
Kia wanarudisha wasio na pen na daftari
 
Ajibu swali, aweke lipa namba ilipwe, vitu vidogo hivyo hakuna haja ya kulialia. Turudishe kwa jamii.
 
Duuh! Hela ya mahafali unaianzishia uzi? Kuna mtendaji wa kijiji, kata, Diwani, Afisa elimu Kata, Afisa Elimu wilaya nk.............wote hao imeshindikana kufikisha malalmiko?
 
Ndiomaana walimu wanaonekana wapumbavu sasa ujinga kama huu unauleta huku wewe ni mpumbavu hebu toa majungu yako humu.
 
Tafuta hela mpeleke mtt private uache kulalamika mitandaoni kaka,hela ya mahafali shi ngapi mpk utupigishe makelele huku????mnazaaga wa nn km hata vimichango vya mahafali mtihan??? Waitishe kikao kisa mahafali????
 
Baada ya kutumia mbinu zako zote ikiwemo uchawi kugonga mwamba ukaamua uje unifungulie uzi humu,, hivi sababu ndo ile ile yule demu au mwenzangu una yako mengine!
 
Kwanini halalamiki kwa mwalimu mkuu, afisa elimu kata, afisa elimu wilaya au hata diwani? Hawa ndio wakuu wa majungu, hii hela ya mahafali 5000 analalamika, bando anatumia la sh ngapi
 
Wanaendekeza njaa,hawana tofauti na traffic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…