Kaimu Viongozi wa Simba SC semeni ukweli kuhusu Niyonzima na Manula la sivyo nalipua bomu muaibike

Niyinzima anakuja simba kucheza no ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niyonzima kamaliza mkataba Yanga? Manula je? Atangazwe Sasa ili iweje?


Matatizo ya performance ya simba misimu iliyopita, kisayansi yanaeleweka. Na sasa wana ya address kwa njia mbalimbali. Ulitaka wambakize Agban wa nini. Ngojea uone matokeo ya usajili ndiyo u comment. Usijiingize kwenye mikakati wakati hujaonesha kuelewa wala tatizo wala jibu. Mbona Yanga mabingwa na wametoa wafungaji wazuri n.k, Ajib wamemsajili wa nini? na umeona Simba mnawaita ma mbumbumbu umesikia hata mpenzi au kiongozi mmoja anamlilia Ajib? mbumbumbu ni nani?
 
Hata walivyomwacha Tambwe hawakumlilia
 
Kwa hiyo matatizo ya Simba yalihitaji usajili the wachezaji 15 msimu huu... Maana mshasajili 12 na bado mnasajili......
 
kuwa na subira ndugu yangu hao wachezaji unaowataja wote ni mali ya simba kinachosubiriwa ni mikataba yao kuisha waweze kutangazwa rasmi,,....simba hatuwezi kuingia kwene mtego wa kuwatangaza kabla ya muda tukapata matatzo yakujitakia
 
kuwa na subira ndugu yangu hao wachezaji unaowataja wote ni mali ya simba kinachosubiriwa ni mikataba yao kuisha waweze kutangazwa rasmi,,....simba hatuwezi kuingia kwene mtego wa kuwatangaza kabla ya muda tukapata matatzo yakujitakia
Niyonzima mkataba umeisha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Half Brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Common sense tu inahitajika

Manula na niyonzima wanatua simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…