Itakuwa vizuri tumjue huyu mzalendo wa kweli,ambaye anataka kurudisha heshima ya mtu aliyechukua Phd.TCU ni mediocre wameshindwa kabisa kutoa leadership kabisa kwenye swali hili,kwa sababu ni appointees wa Rais,hivyo hawawezi kuchukua hatua kwa waziri mwenye Phd fake,ambaye ni kipenzi cha rahisi