Kainerugamba Msemakweli - Ni nani huyu?

Kainerugamba Msemakweli - Ni nani huyu?

Ustaadh

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
413
Reaction score
19
Kuna mwanaharakati anaitwa Kainerugamba Msemakweli.....mwenye wasifu wake atuwekee hapa jamvini.....

35larkh.gif
 
Itakuwa vizuri tumjue huyu mzalendo wa kweli,ambaye anataka kurudisha heshima ya mtu aliyechukua Phd.TCU ni mediocre wameshindwa kabisa kutoa leadership kabisa kwenye swali hili,kwa sababu ni appointees wa Rais,hivyo hawawezi kuchukua hatua kwa waziri mwenye Phd fake,ambaye ni kipenzi cha rahisi
 
We are in a leadership crisis at all levels. Sitegemei kuona leadership kwenye system hii ya kulazimisha kusema Yes bwana mkubwa ili kesho usisahaurike wanapogawa madaraka. Hatuna leaders...tuna wapenda madaraka tu!
 
Ni kijana mdogo tu mwanaharakati.Amesomea sheria,ni mpinga ufisadi nchini..
 
Back
Top Bottom