Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili).
Kupandiwa mawe millions moja na nusu. Kwa maeneo haya Kiluvya (Kibaha) gharama za kiwanja 20x20 ni million 5. Sasa kumilikishwa ndo iwe 1,700,000? Au huu nao ni upigaji?
Wengi wamejenga wanaishi! Barabara, maji, umeme umepita hakuna migogoro. Sasa hizi gharama zisizokuwa rafiki na kulazimika kuzilipa labda dishi liwe limeyumba.