Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Hilo nalikubali sana. So far muda unasema nani baba TPL toka zama hizo.
Kwenye hilo nawapa heshima ila pia ni vibonde ambao mmeshapokea vipigo vya haja toka kwa simba lunyasi.
 
Kwenye hilo nawapa heshima ila pia ni vibonde ambao mmeshapokea vipigo vya haja toka kwa simba lunyasi.
Tatizo unajua historia ya juzi sana.
Tumekutana mara ngapi toka enzi hizo? Nani kashinda mechi nyingi? Sare ngapi?
Idadi ya magoli Jumla yake mechi zote?

Hapo mkubwa ni mmoja tu.
 
Tatizo unajua historia ya juzi sana.
Tumekutana mara ngapi toka enzi hizo? Nani kashinda mechi nyingi? Sare ngapi?
Idadi ya magoli Jumla yake mechi zote?

Hapo mkubwa ni mmoja tu.
Goli tano ni kipigo currently sana, kuna kingine cha sita bila au sita moja kama sijakosea, hivyo ni vipigo heavy ambavyo hamjaweza kuvirejesha.
 
Goli tano ni kipigo currently sana, kuna kingine cha sita bila au sita moja kama sijakosea, hivyo ni vipigo heavy ambavyo hamjaweza kuvirejesha.
Zile tano unajua chanzo chake? Labda si muhimu zinabaki kuwa tano. Mnyama hajawahi kula tano?
Goli tano au sita zina point ngapi?
 
Zile tano unajua chanzo chake? Labda si muhimu zinabaki kuwa tano. Mnyama hajawahi kula tano?
Goli tano au sita zina point ngapi?
Mie sijui chanzo ila najua mlikula hamsa, mshatupiga ila fuatilia nani anadaiwa, nani mwenye deni dhidi ya mwenzio kwenye upande wa vipigo heavy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…